Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

Tatizo lako ni kuangalia TBC na Chanel ten muda wote sasa utajuaje kama aliwahi kufika Ikungi?
Hizo tv stations unazoangalia zenyewe zinakaa kichuki chuki na kichawi chawii ukitaka kutoka kifungoni achana nazo kwanza.
Kupita Ikungi barabarani sio kufika nyumbani kwao huko ndani kwa wanakijiji wenzake.
 
Baada ya kuchukua form alienda na alifanya mkutano mkubwa nyumbani kwao na kesho yake alihudhurìa misa ya asubuhi
 
Nimehoji kuanzia alipokuja Tanzania.
Nimehoji speech zake.
Nimehoji kabla ya kuondoka kwake.
Usijibu kisanii jombii jibu hoja....
yaani anaahidi mkate nyumba za jirani wakati home kuna uporo wa ugali??
umeona nyomi la mkutano wake huko ifakara?
 
Wakati anaomba kura za ubunge miaka hiyo alitoa sababu za kushikwa au kutokushikwa kwa dola??
Kwa hiyo wabunge wenu wote walishindwa kuleta maendeleo sababu ya kutokuwa na dola?
Hivi Singida Mashariki haikuwa na madiwani wa Chadema??
 
Wewe siyo jingalao tena bali pumbavulao. Lissu alipotoka Dodoma kuchukua form alienda kijijini kwao.
 
umeona nyomi la mkutano wake huko ifakara?
Ifakara kuna daraja la Magufuli kuvuka mto kilombero ambapo miaka nenda rudi walikuwa wanazama na kivuko...Ni John Pombe Magufuli amewafutia shida hiyo iliyowashinda wajerumani....My point is Jembe litakuja huko IFOZA halafu ndio tukuoneshe maana ya nyomi...
 
Kodi zetu, ndio zinalipia au kulipia
 
Hakuna mbunge au diwani anayeleta maendeleo katika jimbo au kata yake kwa fedha zake wao ni wawakilishi tu wa wananchi. Hapo Ukonga alikuwepo Matap tap Mwita. Kaleta maendeleo gani? Majimbo mengi yanayo wakilishwa na wabunge na madiwani wa CCM hali ni mbaya kama ilivyo kwa jimbo la Lissu na si makosa yao. Kazi hiyo ni ya serikali ndiyo maana unaona hata kwa Ndugai, Majaliwa nk ni hoi.
Wakati anaomba kura za ubunge miaka hiyo alitoa sababu za kushikwa au kutokushikwa kwa dola??
Kwa hiyo wabunge wenu wote walishindwa kuleta maendeleo sababu ya kutokuwa na dola?
Hivi Singida Mashariki haikuwa na madiwani wa Chadema??
 
Ni Kikwete ndiyo alijenga hilo daraja la Kilombero, tunajua na wakati lilipojengwa na nani alilisimamia. Wewe acha sifa za kijinga....Hilo daraja limejengwa wakati mnyapara wa barabara ni waziri wa ujenzi hivyo hakuna input yake binafsi zaidi ya kutumwa na Kikwete na maamuzi ya baraza la mawaziri. Acha ujinga wewe...unataka kumdanganya nani wewe? Tunaijua Ifodha vizuri.
 
Kazi yake ni kuwasilisha mahitaji na chamgamoto za jimbo lake serikalini ambayo ndiyo dola yenyewe na siyo yeye kufanya na hakuna mbunge wa CCM anayeleta maendeleo kwa pesa zake hata Magufuli anatumia za serikali ila kinacho msaidia ana uwezo na nguvu ya kuamua na kuamrisha. Kama hutaelewa basi ni shida!
Wakati anaomba kura za ubunge miaka hiyo alitoa sababu za kushikwa au kutokushikwa kwa dola??
Kwa hiyo wabunge wenu wote walishindwa kuleta maendeleo sababu ya kutokuwa na dola?
Hivi Singida Mashariki haikuwa na madiwani wa Chadema??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…