Kadata na juice ya ikulu anaililia kwa fujo [emoji1][emoji16][emoji2960]Huyu naye wenzie wanajadili Corona yeye bado anawaza juice za Ikulu!
Si unaona sasa hivi walivyokosa mwelekeo wamebaki kuropoka ropoka tu kama vichaa, albadr iliyosomwa kule Muheza imeshaanza kuwatesa.Tutamponda Lissu kwa kila aina ya maneno lakini ukweli utabaki yalikuwa ni makosa makubwa kujaribu kumuua Lissu na ikashindikana atasumbua mpaka anaenda kaburini hana cha kupoteza ameshaonja mauti hakika walioplan ule mchezo watakuja kupata tabu kubwa sana tuendelee kuwepo
Sasa ushoga ukiruhusiwa si ndiyo furaha kwakoHahaha mzee wa tutashitakiwa MIGA ,Mara nikiwa rais ushoga ruksa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitu zima unaogopa fluHuyu naye wenzie wanajadili Corona yeye bado anawaza juice za Ikulu!
Tundu afunge domo asije akapata virusi vya corona, aweke akiba ya maneno. Siku si nyingi Mbowe ataenda ikulu atabaki mdomo wazi.
Huyu jamaa utamchukia tu kwa sababu umechagua hivyo. Lakini ukweli ni kwamba ni Mwanasiasa Bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.Kadata na juice ya ikulu anaililia kwa fujo [emoji1][emoji16][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unaifahamuKwahiyo hiyo siri anaifahamu pekee Tanzania nzima.
Mwanasheria uchwara wa AcaciaHuyu jamaa utamchukia tu kwa sababu umechagua hivyo. Lakini ukweli ni kwamba ni Mwanasiasa Bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Ni Mazingira tu ya sasa lakini jamaa ni Mzarendo wa kuigwa. Magufuli angeweza kufanya Combination na watu kama Lissu tungepiga hatua zaidi ya sasa. Kiukweli Magufuli angeendana vizuri sana na Lissu katika Utawala wake kama akimuulewa Lissu vizuri.
Sio kweli. Tundu Lissu kaanza kupigania mambo ya madini kabla hata hujamjua. Ni issue tu za kumhusisha na Acacia hazina ukweli. Ni janja ya Serikali kuficha ubaya ktk issue ya Madini mambo ambayo Lissu alionya kipindi kirefu nyuma.