Tundu Lissu afichua sababu ya Magufuli kukutana na Wapinzani Ikulu bila CHADEMA

Tundu Lissu afichua sababu ya Magufuli kukutana na Wapinzani Ikulu bila CHADEMA

Son of Africa!! Huyu kijana atafika mbali sana Mungu amsimamie.

Wengi walibezwa lkn hawakukata tamaa!! Nyerere alidhihakiwa lkn hakukata tamaa.

Hata waliopambana na utawala baguzi na dhalimu wa South Africa walibezwa na kukejeliwa lkn leo ni mashujaa.

Go on Tundu Lissu wakati upo upande wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu aliyeshiriki kuwauzia CCM kiti cha URAIS 2015 ndo Nyerere wako?
kama hawa ndo mashujaa, sasa WASALITI wanakuwaje?
 
Tutamponda Lissu kwa kila aina ya maneno lakini ukweli utabaki yalikuwa ni makosa makubwa kujaribu kumuua Lissu na ikashindikana atasumbua mpaka anaenda kaburini hana cha kupoteza ameshaonja mauti hakika walioplan ule mchezo watakuja kupata tabu kubwa sana tuendelee kuwepo
cc. Bashite via Jiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine tunatofautiana katika mitazamo na itikadi zetu kwa sababu ya maslahi flani lakini tukiamua kuviwekwa hivyo vyote pembeni halafu tukabaki watu huru,Kuna Jambo lenye afya kwenye mazungumzo ya Lissu.
 
Back
Top Bottom