Tundu Lissu afichua sababu ya Magufuli kukutana na Wapinzani Ikulu bila CHADEMA

Wote wakali moto siungewaka humo kwenye vikao?
 
Upo sahihi kabisa, Magufuli angeliona hili angepata watu sahihi kuleta Mapinduzi ya Uchumi na kuyasimamia kwa dhati. Tanzania bado inahitaji watu wa kaliba ya The Greater Lissu.
Lakini hawezi kuliona; kwa sababu udhaifu wake wa upande mbaya unamlemea sana, hawezi kamwe kuachana nao. Hiyo ni sehemu ya maisha yake asiyoweza kuyabadili.
 
Ukiwa na akili kisoda huwe elewa, ili uweze kumuelewa ni lazima uwe na akili kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikuwa TANU kisha CCM ndiyo maana alifika mbali. Angekuwa vyama vya upinzani, tena hivyo vinavyoshabikia ushoga, asingefika mbali. Kwani angekuwa anapingana na Muumba.

Lakini pia Nyerere alikuwa habashiri kama huyu Tobo Lissu anavyobashiri. Kumbuka katika hicho kikao yeye hakubudhuria alijuaje yaliyozungumziwa? Na wewe bila aibu unamwamini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wakali moto siungewaka humo kwenye vikao?
Hakika.

Lakini uongozi sahihi ni kusikiliza upande wa pili, na mwisho wa siku uamzi utafanyika kwenye vikao hivyo vilivyootesha moto.

Uamzi ukishafanyika, ni kutimiza yaliyoamriwa na vikao na msimamizi mkuu anachukua nafasi yake na maisha yanaendelea.

Kama 'ukali' ukifikia sehemu inayoleta uhasama, hapo hakuna uongozi tena, na linalotakiwa ni kwa yule aliyeteuliwa kujiondoa kwa heshima na maisha yanaendelea.
 
Huna hoja kujiunga jana au juzi au Leo sio hoja hata wewe ulijiunga Kama Mimi hii inaonesha wazi anae harisha ni wewe dada naona oil seal Ina vujisha [emoji1][emoji16][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app

Narudia tena, imejiunga juzi kuja kutapika Makande yaliyochacha hivyo unapamia kila mtu na kila kitu, ila wenzako wameukimbia huu mziki wa humu. Jichanganye tu kisha ndio utaujua huu mziki vizuri.
 
Huyu TL alishanyimwa Haki ya kuishi na binadamu lkn Mungu akakataa.Pom ame pre empty.hata TL akirudi kesho haguswi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaanza kumkubali Lisu mara tu atakapoanza kuwakubali wasomi wengine waliopo Nchini, na Kati ya watu ambao hatupaswi hata kuwajaribishia kuwapa nchi hata Kwa siku moja, ni huyu msomi asiyeamini uwepo wa wasomi wengine Nchini

Huwa najiuliza, endapo huyu akipewa nchi,Je, atashauriwa na Nani? Ikiwa wasomi wooote Nchini anawaona wote ni form for felia! Kamati Ile iliyoongozwa na Prof Osoro ilikuwa na maprof karibu wote, cha kushangaza yeye aliwaita wote ni wasomi uchwara

Tukasema Sawa huwezi jua, kateuliwa Mwalimu wake awe mwanasheria mkuu wa serikali mh Paramagamba naye kamwita ni msomi uchwara,

Sasa Je, ni Nani atakaye mshauri ikiwa siku moja akiwa ndo Raisi wanchi?

Huyu ndo atakuwa mbovu kuliko hata anayesemwa ni mbovu
 
Lakini hawezi kuliona; kwa sababu udhaifu wake wa upande mbaya unamlemea sana, hawezi kamwe kuachana nao. Hiyo ni sehemu ya maisha yake asiyoweza kuyabadili.
Katika Vitu navyomuombeaga Raisi Magufuli ni kupata Ufunuo sahihi juu ya watu kama Lissu na wengine waliopigania mambo ambayo hata yeye Raisi ndo anayasimamia sasa. Naona kama Raisi hapati tafsili nzuri juu ya watu hawa.
 
TANU wakati wa ukoloni kilikua chama cha upinzani ewe kiumbe mlaaniwa elewa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…