Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,774
Mziki wa misukule [emoji1][emoji16][emoji2960]Narudia tena, imejiunga juzi kuja kutapika Makande yaliyochacha hivyo unapamia kila mtu na kila kitu, ila wenzako wameukimbia huu mziki wa humu. Jichanganye tu kisha ndio utaujua huu mziki vizuri.
Usiseme watanzania sema misukule ya ufipa watanzania sio misukuleSiku watz wakiujua unafiki wa ccm watampigia magoti Lissu...
ficha utaahira wakoHuyu jamaa ni mpuuzi,hivi huko ubeligiji. Maambukizi ya covid 19 yako kwa kiwango gani? Na vifo viko namna gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza wote waliofeli ile misheni, wameishatangulizwa mbele ya haki,Tutamponda Lissu kwa kila aina ya maneno lakini ukweli utabaki yalikuwa ni makosa makubwa kujaribu kumuua Lissu na ikashindikana atasumbua mpaka anaenda kaburini hana cha kupoteza ameshaonja mauti hakika walioplan ule mchezo watakuja kupata tabu kubwa sana tuendelee kuwepo
Afadhali ushoga uruhusiwe tu hivi haujaruhusiwa lakini kuna wakuu wa mikoa na viongozi wa upinzani ni mashogaHahaha mzee wa tutashitakiwa MIGA ,Mara nikiwa rais ushoga ruksa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii huenda in I'd ya MTU namheshimu anaitwa pWewe kiazi unaharibu jina la Baptist ambaye hakuwa mnafiki kiasi cha kukubali kupoteza maisha yake kwa kumwambia herode ukweli asioutaka kuusikia. Bora ungejiita Makonda
Huyu naye wenzie wanajadili Corona yeye bado anawaza juice za Ikulu!
Kadata na juice ya ikulu anaililia kwa fujo [emoji1][emoji16][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Son of Africa!! Huyu kijana atafika mbali sana Mungu amsimamie.
Wengi walibezwa lkn hawakukata tamaa!! Nyerere alidhihakiwa lkn hakukata tamaa.
Hata waliopambana na utawala baguzi na dhalimu wa South Africa walibezwa na kukejeliwa lkn leo ni mashujaa.
Go on Tundu Lissu wakati upo upande wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutamponda Lissu kwa kila aina ya maneno lakini ukweli utabaki yalikuwa ni makosa makubwa kujaribu kumuua Lissu na ikashindikana atasumbua mpaka anaenda kaburini hana cha kupoteza ameshaonja mauti hakika walioplan ule mchezo watakuja kupata tabu kubwa sana tuendelee kuwepo
Si unaona sasa hivi walivyokosa mwelekeo wamebaki kuropoka ropoka tu kama vichaa, albadr iliyosomwa kule Muheza imeshaanza kuwatesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mh raisi kaomba msamaha kwa Pompeo barua tumeiona, kwa hiyo kakiri kuacha u... chwara, sasa aweza kuitwa mh. raisi, ingawa amewabagua chadema kwenda ikuluLeo anamuita MH Rais, badara ya Dikteta uchwara! Mda sasa umeongea.
Chadema cyo chama cha siasa ni chama cha vurugu.
Unaharibu sifa nzuri ya wasukumaLeo anamuita MH Rais, badara ya Dikteta uchwara! Mda sasa umeongea.
Chadema cyo chama cha siasa ni chama cha vurugu.
Sasa Le mutuz anakula pesa za Daud Bashite kwa kumdanganya kuwa waganga watamroga afe akiwa huko huko, Le mutuz kala mamilioni anaenda kuleta waganga toka Gambia mali msumbiji na sehemu nyingi DunianiTutamponda Lissu kwa kila aina ya maneno lakini ukweli utabaki yalikuwa ni makosa makubwa kujaribu kumuua Lissu na ikashindikana atasumbua mpaka anaenda kaburini hana cha kupoteza ameshaonja mauti hakika walioplan ule mchezo watakuja kupata tabu kubwa sana tuendelee kuwepo
Nyerere huyo huyo alikuambia kaburu si lazima awe mzungu, bali tabia . Ukiwa na tabia za kibaguzi hata kama ni mweusi wewe ni KABURU tu.