Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana

Kwahiyo kusalimiana na kikwete ndo habari kubwa?
 
Kwanini Binti yake Maria Sarungi hajaonekana msibani??

Pili kwa nini huyu Mzee kwa mila za Kijaluo na status yake asizikwe kwao Utegi?
 
Kwahiyo kusalimiana na kikwete ndo habari kubwa?
Lisu mnafiki mkubwa kilichompeleka hapo ni kujikomba kwa Maria sarungi

Kikwete alikuwa mple mno na aliwakaribisha hadi akina Lisu ikulu wakanywa hadi chai naye a

Lakini Lisu alichomlipa Kikwete ni matusi kuliko akiyotukana Mbowe

Na Lisu ndie alisababisha CCM imteue mgombea mkali kumzidi Magufuli ili kumdhibiti Lisu

CCM ikaona kwa siasa akina Lisu walikuwa wakiendesha hatakiwi tena mtu mpole kama Kikwete kushika uraisi

CCM ikaamua dawa ya moto ni moto ikaamua Magufuli apewe uraisi

Na kweli Lisu haji kusahau ubabe wa Magufuli alikimbia nchi mwenyewe kama mwehu

CCM ukileta siasa za kistaarabu watafanya siasa za usitaarabu ukileta za kibabe CCM ndio baba wa ubabe hutoboi

Kitapundua kila kitu kichwa chini miguumjuu kila eneo ndio maana kinaitwa chama cha Mapinduzi
 
Mazishi yake lini
 
Kwenda msibani ni kujikomba? We jamaa ni mjinga kwa kiasi kikubwa sana

Huo ubabe wa kijinga leo hii huyo mbabe wa kutumia mabunduki yupo wapi na Lissu yupo wapi?

CCM walimshindwa Lissu kwa hoja wakaona watumie bunduki wakafeli pia

CCM haina na haijawai kua na Siasa za kistaraabu, CCM ina Siasa za Kihuni na kutumia dora.

Jielimishe kabla ya kuropoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…