Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,901
- 410
Hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Binti yake Maria Sarungi hajaonekana msibani??Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia
View attachment 3264674View attachment 3264677
Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye
😆😆😆Shikamoo
Kwani Kikwete ni ofisa wa serikali?Sasa si kuna jamaa alikuwa analalamika eti serikali imetelekeza msiba wa marehemu?
Jikite kwenye madaKwanini Binti yake Maria Sarungi hakaonekana msibani??
Pili kwa nini huyu Mzee kwa mila za Kijaluo na status yake asizikwe kwao Utegi?
HayaHuyo bibi ndo kikwete au mimi sijaelewa
Usinipangie cha ku- comment, huo ni UDIKTETA piaJikite kwenye mada
Lisu mnafiki mkubwa kilichompeleka hapo ni kujikomba kwa Maria sarungiKwahiyo kusalimiana na kikwete ndo habari kubwa?
Unajifanya hujui?😎Kwani Kikwete ni ofisa wa serikali?
Oya bro tulia basiJamani nalowa wewe mkaka
Kikwete hajawakilisha serikali, ni rafiki wa familia(family friend). Tuliokuwa jirani na familia ya Sarungi enzi hizo tunajua.Sasa si kuna jamaa alikuwa analalamika eti serikali imetelekeza msiba wa marehemu?
Yaah nina jirani yangu alisomea udaktari Rusia alikuja na kirashia chake hapaWazee wengi wenye nyadhifa enzi hizo walioa wazungu.
Mazishi yake liniMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia
View attachment 3264674View attachment 3264677
Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye
Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La
Kwani msiba umeisha, lini wamezika?Kwanini Binti yake Maria Sarungi hakaonekana msibani??
Pili kwa nini huyu Mzee kwa mila za Kijaluo na status yake asizikwe kwao Utegi?
Kwenda msibani ni kujikomba? We jamaa ni mjinga kwa kiasi kikubwa sanaLisu mnafiki mkubwa kilichompeleka hapo ni kujikomba kwa Maria sarungi
Kikwete alikuwa mple mno na aliwakaribisha hadi akina Lisu ikulu wakanywa hadi chai naye a
Lakini Lisu alichomlipa Kikwete ni matusi kuliko akiyotukana Mbowe
Na Lisu ndie alisababisha CCM imteue mgombea mkali kumzidi Magufuli ili kumdhibiti Lisu
CCM ikaona kwa siasa akina Lisu walikuwa wakiendesha hatakiwi tena mtu mpole kama Kikwete kushika uraisi
CCM ikaamua dawa ya moto ni moto ikaamua Magufuli apewe uraisi
Na kweli Lisu haji kusahau ubabe wa Magufuli alikimbia nchi mwenyewe kama mwehu
CCM ukileta siasa za kistaarabu watafanya siasa za usitaarabu ukileta za kibabe CCM ndio baba wa ubabe hutoboi
Kitapundua kila kitu kichwa chini miguumjuu kila eneo ndio maana kinaitwa chama cha Mapinduzi