Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Au kama walivyokuwa Dr. Shaba na Dr. Mwanukuzi (wote rip). Unafikiri mimi ni mtoto wa juzi kama wewe sio?πKikwete hajawakilisha serikali, ni rafiki wa familia(family friend). Tuliokuwa jirani na familia ya Sarungi enzi hizo tunajua.
Hiyu ni baba yake Maria Saringi.Lissu kila mahali
Kwani kuna shida?Hiyu ni baba yake Maria Saringi.
Lissu na Maria Sarungi wana urafiki mkubwa katika mambo ya kudai uhuru na demokrasia.
Lissu asingeenda kutoa poke msiba wa Maria Sarungi ndiyo watu tungeshangaa.
Lissu kwenda kutoa pole msiba wa kwa Sarungi ni kitu tulichotegemea.
Kikwete kashafanya kazi mpaka kwenye cabinet level na Profesa Sarungi. Hivyo kwenda kutoa poke hapo si ajabu.
Hakuna shida.Kwani kuna shida?
Huo ujinga huwa wanaelezwa manyumbu tu huku wanapigwa tone-tone. JK unamwelezaje ulafa kama huo? Na umweleze yeye akiwa kama nani?!!! Ameshajistaafia.Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La
Itamsaidia kitu gani huyo Kikwete akielezwa? Huyo huyo Kikwete ndiye katuletea balaa hili lililopo sasa.Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La
He is literally our National Leader, even his speeches are set for discussion.Lissu kila mahali
Mchawi mpe mwanao akuleleeItamsaidia kitu gani huyo Kikwete akielezwa? Huyo huyo Kikwete ndiye katuletea balaa hili lililopo sasa.
Unateseka ukiwa kibaigwa sehemu gani?Huo ujinga huwa wanaelezwa manyumbu tu huku wanapigwa tone-tone. JK unamwelezaje ulafa kama huo? Na umweleze yeye akiwa kama nani?!!! Ameshajistaafia.
BibChura kasusa....mitusi imemkoroga etiii alitamani amteke Maria..US na Kenya wakaingilia katiBi Chura ndo amegoma kabisa kumuaga CCM mwenzake
Duh!Huyu mke wa Prof.
Nilimuona kwa mara ya kwanza( na ya mwisho) 1970.
Je anamfahamu?Bi Chura ndo amegoma kabisa kumuaga CCM mwenzake
Utakubali mwanao kufunzwa uchawi?Mchawi mpe mwanao akulelee
πππππUtakubali mwanao kufunzwa uchawi?
Ni kweli zama zile kulikuwa na upepo huo madingi wakienda mbele kusoma basi wanarudi na wake wa kizungu. Wazee walikuwa obsessed sana ngozi nyeupe zama zile. Ni ujiko yaani.Yaah nina jirani yangu alisomea udaktari Rusia alikuja na kirashia chake hapa
Sasa si kuna jamaa alikuwa analalamika eti serikali imetelekeza msiba wa marehemu?
Anazingua uyo π€£π€£..70 maana ake miaka hamsini iliyopita.na hapo alipokutana na uyo bimkubwa tuseme alikua na miaka 25 ko ssaiv atakua na kama 70+..Duu. Utakuwa babu bila shaka.
JPM na Makonda waliamini ukiwaza tofauti ni lazima ufe!Siasa siyo uadui