Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Mkuu shikamoo!Huyu mke wa Prof.
Nilimuona kwa mara ya kwanza( na ya mwisho) 1970.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu shikamoo!Huyu mke wa Prof.
Nilimuona kwa mara ya kwanza( na ya mwisho) 1970.
mjinga huyo mtuSasa si kuna jamaa alikuwa analalamika eti serikali imetelekeza msiba wa marehemu?
Uongo!
Toa mifano.
Awamu ya Mzee Kikwete mchakato wa Katiba na Demokrasia zilikiwa zinaenda vizuri sana.
Lakini kwa Mama tulichoambulia ni Ulaghai wa 4R na kutuhadaa na Maridhiano.
MrusiHuyu mkewe ni Mtanzania?
Mrusi
Mtakufa vinywa wazi kwa kukaa kuwazushia watu Kila Leo wajinga na wapumbavu wakubwa nyie! Ulikuwepo walipikuwa wanaelekezana habari ya kununua umeme?!!! Na haya makumi ya miradi iliyoachwa na mwendazake anayoikamilisha anaambiwa na kikwete pia?!!! Tone-tone huko vipi, imeshafika bilioni?!!!Nani kasema kastaafu? Huyu ndio anaempoteza Samia kusaini mikataba mibovu!! Sasa Hivi Wamesuka deal wanunue umeme toka Ethiopia 😂😂
Lissu anavaa kama rais wa China Mao Tseo Tong au rais wa Korea Kasikazini Kim, Malecela, Nyerere, Kennedy Kaunda au Nkwame Nkurumah ishara ya ukomunistiMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia
View attachment 3264674View attachment 3264677
Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye
Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La
View attachment 3264994
Naam,ndo mama wa Maria sarungiDuh mke mzungu tena
Huyo bibi hana akili ya kufanya bila huyo Mkwere kwani ndio aliyemuokota jalalani!🤷🏻♂️Mtakufa vinywa wazi kwa kukaa kuwazushia watu Kila Leo wajinga na wapumbavu wakubwa nyie! Ulikuwepo walipikuwa wanaelekezana habari ya kununua umeme?!!! Na haya makumi ya miradi iliyoachwa na mwendazake anayoikamilisha anaambiwa na kikwete pia?!!! Tone-tone huko vipi, imeshafika bilioni?!!!
Kama unajulikana kuwa ni mwizi mtaani, siku kitu kikipotea tu mtu wa kwanza kushukiwa ni wewe!Mtakufa vinywa wazi kwa kukaa kuwazushia watu Kila Leo wajinga na wapumbavu wakubwa nyie! Ulikuwepo walipikuwa wanaelekezana habari ya kununua umeme?!!! Na haya makumi ya miradi iliyoachwa na mwendazake anayoikamilisha anaambiwa na kikwete pia?!!! Tone-tone huko vipi, imeshafika bilioni?!!!
Bado hamjasema haters, endeleeni kuota; watu wanapiga maendeleo. Nyie endeleeni kukalia bikini zenu hizo mkiwaombea watu mabaya.Kama unajulikana kuwa ni mwizi mtaani, siku kitu kikipotea tu mtu wa kwanza kushukiwa ni wewe!
Huyu mkwewe machimbo ya gesi ya Kule kusini Ali wapa Wachina kwa miswada aliyopitisha usiku usiku under certificate of emergency mwisho mwisho mwa utawala wake . Bila Ufisadi wake saa hizi nchi ingekuwa unauza LPG kama wanavyofanya Msumbiji hivi sasa!!
Mwenyekiti wa TPDC Sefue anapiga Kelele tu hatuoni maendeleo yeyote ya hiyo gesi!
Ndio kwa misingi hiyo hiyo Ufisadi mkubwa ukifanyika nchini mkwere lazima atahusika hata kuuza wanyamapori toka Serengeti kwenda UAE kulikuwa na mkono wake akimtumia waziri wa maliasili wa wakati huo Lazaro Nyalandu.
Linganisha aliyofanyiwa na kikwete na aliyofanyiwa na JPM, nani alimpeleka mbali zaidi Samia?!!! Wivu utakuwa dada'angu.Huyo bibi hana akili ya kufanya bila huyo Mkwere kwani ndio aliyemuokota jalalani!🤷🏻♂️
Huoni alivyomsukuma mpaka kumpa mwanae uwaziri ingawa kichwani ni kiazi!
JPM aliupiga chini mradi wa bandari ya Bagamoyo kwasababu ya Ufisadi, Huyu mkwere amemshinikiza mpaka mradi umefufuliwa ingawa hakuna economic justification with the other port investments in Tanga and Daresalaam taking place!’ Mnawatwisha mizigo ya madeni wananchi kwa kukosa umakini.
Kikwete ndio kamtengeneza toka alipokuwa afisa masijala huko kwao!Linganisha aliyofanyiwa na kikwete na aliyofanyiwa na JPM, nani alimpeleka mbali zaidi Samia?!!! Wivu utakuwa dada'angu.
Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele!Kikwete ndio kamtengeneza toka alipokuwa afisa masijala huko kwao!