Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana

Uongo!
Toa mifano.

..miaka ya 1960, 70, na 80, wanafunzi walikuwa wanakwenda Soviet Union kwa kozi za miaka 5 au 7.

..Na wahusika walikuwa hawarudi nyumbani kwa kipindi chote mpaka wamalize masomo.

..mazingira hayo ndio yaliyopelekea wazee kama Prof.Sarungi kuoa wakiwa masomoni nje ya nchi.
 
I see namkumbuka sana Mzee Sarungi!!!Miaka mingi nikisali Pale Kinondoni Sda,Tulikuwa pamoja sarasa la Shule ya Sabato la Lugha ya English.
 
Awamu ya Mzee Kikwete mchakato wa Katiba na Demokrasia zilikiwa zinaenda vizuri sana.

Lakini kwa Mama tulichoambulia ni Ulaghai wa 4R na kutuhadaa na Maridhiano.
 
Nani kasema kastaafu? Huyu ndio anaempoteza Samia kusaini mikataba mibovu!! Sasa Hivi Wamesuka deal wanunue umeme toka Ethiopia 😂😂
Mtakufa vinywa wazi kwa kukaa kuwazushia watu Kila Leo wajinga na wapumbavu wakubwa nyie! Ulikuwepo walipikuwa wanaelekezana habari ya kununua umeme?!!! Na haya makumi ya miradi iliyoachwa na mwendazake anayoikamilisha anaambiwa na kikwete pia?!!! Tone-tone huko vipi, imeshafika bilioni?!!!
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.

Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

View attachment 3264674View attachment 3264677

Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye

Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La

View attachment 3264994
Lissu anavaa kama rais wa China Mao Tseo Tong au rais wa Korea Kasikazini Kim, Malecela, Nyerere, Kennedy Kaunda au Nkwame Nkurumah ishara ya ukomunisti
 
Mtakufa vinywa wazi kwa kukaa kuwazushia watu Kila Leo wajinga na wapumbavu wakubwa nyie! Ulikuwepo walipikuwa wanaelekezana habari ya kununua umeme?!!! Na haya makumi ya miradi iliyoachwa na mwendazake anayoikamilisha anaambiwa na kikwete pia?!!! Tone-tone huko vipi, imeshafika bilioni?!!!
Huyo bibi hana akili ya kufanya bila huyo Mkwere kwani ndio aliyemuokota jalalani!🤷🏻‍♂️
Huoni alivyomsukuma mpaka kumpa mwanae uwaziri ingawa kichwani ni kiazi!
JPM aliupiga chini mradi wa bandari ya Bagamoyo kwasababu ya Ufisadi, Huyu mkwere amemshinikiza mpaka mradi umefufuliwa ingawa hakuna economic justification with the other port investments in Tanga and Daresalaam taking place!’ Mnawatwisha mizigo ya madeni wananchi kwa kukosa umakini.
 
Kama unajulikana kuwa ni mwizi mtaani, siku kitu kikipotea tu mtu wa kwanza kushukiwa ni wewe!
Huyu mkwewe machimbo ya gesi ya Kule kusini Ali wapa Wachina kwa miswada aliyopitisha usiku usiku under certificate of emergency mwisho mwisho mwa utawala wake . Bila Ufisadi wake saa hizi nchi ingekuwa unauza LPG kama wanavyofanya Msumbiji hivi sasa!!
Mwenyekiti wa TPDC Sefue anapiga Kelele tu hatuoni maendeleo yeyote ya hiyo gesi!
Ndio kwa misingi hiyo hiyo Ufisadi mkubwa ukifanyika nchini mkwere lazima atahusika hata kuuza wanyamapori toka Serengeti kwenda UAE kulikuwa na mkono wake akimtumia waziri wa maliasili wa wakati huo Lazaro Nyalandu.
 
Bado hamjasema haters, endeleeni kuota; watu wanapiga maendeleo. Nyie endeleeni kukalia bikini zenu hizo mkiwaombea watu mabaya.

Dada'angu, huwezi kamwe kumshusha aliyepangiwa na Mungu kwa majungu na wivu. Kiazi ni nani,, Ridhiwani?!!! 😂 😂 Hebu jaribu kujilinganisha nae kwanza tuone...... mpumbavu we. Hivyo ndo vijivineno mnavyolishana huko unyumbuni baada ya kushindwa Kila kitu.....msiowapenda wanazidi kufanikiwa tu. Huyo JPM mwenyewe hakumwona mwingine, katika awamu mbili, za kufanya msaidizi wake zaidi ya Samia. Hamna mkijualo mapoyoyo nyie!!
 
Huyo bibi hana akili ya kufanya bila huyo Mkwere kwani ndio aliyemuokota jalalani!🤷🏻‍♂️
Huoni alivyomsukuma mpaka kumpa mwanae uwaziri ingawa kichwani ni kiazi!
JPM aliupiga chini mradi wa bandari ya Bagamoyo kwasababu ya Ufisadi, Huyu mkwere amemshinikiza mpaka mradi umefufuliwa ingawa hakuna economic justification with the other port investments in Tanga and Daresalaam taking place!’ Mnawatwisha mizigo ya madeni wananchi kwa kukosa umakini.
Linganisha aliyofanyiwa na kikwete na aliyofanyiwa na JPM, nani alimpeleka mbali zaidi Samia?!!! Wivu utakuwa dada'angu.
 
Kikwete ndio kamtengeneza toka alipokuwa afisa masijala huko kwao!
Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele!
Moto imeshawashwa huko, nyie endeleeni kutonelewa....pumbaaavu! Watu wametokea kuchunga ng'ombe Hadi kuwa viongozi wakubwa Dunia hii we nyumbu unashangaa umasjala?!! Cheleweshaneni kishamba hivyo hivyo huko mulipo. Yeye afisa masjala na wewe meneja wa bot tawi la mwanza, umemzidi nini' Sasa?!!!! Nyumbu wapumbavu sana!
 
Back
Top Bottom