Pre GE2025 Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo mfano wako ni wa kijinga sana kwani hujui kuwa utawala wa magufuli ulikuwa hatari kwake, na kitendo cha kusindikizwa na mabalozi unaona ni cha kawaida? Wewe hapo ulipo kuna Balozi anakujua? Kuwa na mabalozi ni ufahali mkubwa na pia Lisu anao watu wengi sana lakini kwa kuwa umekula pesa za mbowe na kuvuta Bangi umejitoa fahamu zote na kuja na mifano usiyojua hata maana yake
 
Mbowe kaa kwa uangalifu juu ya pesa zako zitaliwa bure humu na hao chawa wako vilaza watupu badala wajenge hoja wamekalia kuandika visivyowezekana na hata vikiwezekana Lisu hana cha kupoteza, Lisu ni msomi ni mwanataaluma nje ya siasa hatakosa pa kwenda kazi zipo kibao ataishi kwa raha, shida ni mbowe akimaliza pesa zote
 
Mpumbafuu
 
Matahira na mandondocha ya ccm kama hili sjui huwa yanawaza nn
 
Hahaha nitoke vipi na mie chawa mpya? Washamaliza points wanarudiarudia tu sasa uchafu uleule
 
Umemwelewa alichokiandika au umekurupuka? Yeye ameanika madudu ya waliyowahi kuyafanya viongozi wa CHADEMA na Lissu akiwepo na akayafumbia macho. Inakuwaje unamshutumu tena?

Hayo watashughulikia wengine kwani lazima Lissu ndo ayaone? Mwambie mtoa mada kama alijua hayo kwa nn kasubiri hadi aseme leo baada ya posho?
 
WEWE NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE.. TANGU UTUMIWE KUMTENGENEZEA LWAKATARE KESI TUNAKUONA KAMA VIMA TUU NA KICHAA. HUNA CREDIBILITY YA KUMUONGELEA LISSU FUNGA BAKULI LAKINI HUNA JIPYA. UNAJIFANYA KUIJUA CHADEMA WAKATI UNATUMIKA
 
Ludovick, ni wewe kweli umeleta hii maada?. Anyway, hoja hujibiwa kwa hoja, kwenye maada hii sioni hoja ya msingi uliyojenga hivyo naacha tu inipite hii maada yako.
 
Mbowe Division 0 darasani nje ya Siasa atakufa kwa njaa kwani pesa yote ya Akiba anaitumia kununua uenyekiti chawa Wajumbe wanakula pesa zake kama mchwa pesa alifuja yote itaishia kwa wajanja wachache waliotumia fursa hii kula pesa za mbowe, alikuwa mchoyo mkubwa pesa alikuwa akila peke yake, Lisu kampelekesha sasa wengi wanakula pesa zake kwa wingi,Mbowe hatakaa amsahau Lisu maishani
 
Lisu hatufai kwa sasa, kakosa staha, amfuate Msigwa.
Kula pesa ya mbowe kwanza, Lisu bila chadema ataishi bila shida siyo lazima kwenda kokote, Taasisi za kimataifa zinamhitaji sana, Mbowe nje ya Siasa na endapo mmekula pesa zake zote atakuwa mzee baraza vijijini kwani Mbowe ni division zero Darajani, Pesa anayotumia sasa kuununua uenyekiti itokee akosa kuwa mwenyekiti atakuwa kichaa lazima augue sana
 
Eti huyu naye anafanya propaganda mbaya dhidi ya lissu ili apate mkate akale ashibe. Hizi ni siasa za kipuuzi hazimtishi Lissu
 
Mtu analipwa hela kidogo za kuandika uharo apate kula maana ana njaa kali. Kwani lissu akifukuzwa ina maana hakuna wapinzani wengine ndani ya chadema dhidi ya mbowe au ccm inayomuogopa?
 
Kaka nashukuru sana kwa kumuunga mkono mjomba wangu, kazi iliyobaki ni kutetea kikoba chetu kirudi uchagani. Pia malizia ada ya uanachama ili tukalipie deni la mbege iliyotumika jana.
🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…