Pre GE2025 Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ngoja nisome maoni ya chawa wa Lissu, chawa wa Mbowe na mashabiki wa mbogamboga myukano wao kwenye hii post.
 
Sasa wewe ndiyo umeandika nini hapa? Unaweza kuthibitishia hayo uliyo andika kwa kuwataja hao victim?
 
Nyie Chadema mnashangaza Sana, mnataka serikali iwajibike Kwa wananchi, iwe na uwazi wa matumizi ila kwenu CHADEMA hamtaki
 
Reactions: Tui
Mjumbe njaa zitamuua Mbowe amezungukwa na Wajumbe wajinga wajinga watupu wasiojua kuwa watanzania wameamka wanajua uandishi wa chawa huwa na ujinga mwingi
Kabisa unaweza kuamini yupo bao kwenye kura wakamchinja
 
Lissu ni KIPOFU ambaye CHADEMA wameshindwa kula naye sahani moja..

Lissu ni KIONGOZI MZURI ila siyo Mwanasiasa..
 
Are you rational being??
your post is non sense, I can see lack of objectivity and particularlity πŸ€”πŸ€”

Your personality, education status completely does not relating from what you have posted??

Hamna fact's, you come out with mere narrative, working on speculation,and drawing invalid conclusion.

Mara nyingi huwa najiuliza, hivi watu HUWA WANAENDA SHULE KUSOMEA UJINGA???

andiko kama hili hata mtoto wa kidato Cha pili hawezi kuandika USHUUZI kama huu.

Bro Respect yourself, THINK BIG πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸš΄
 
Mtaweweseka sana mwaka huu. Lisu lazima awe mwenyekiti wa chadema utake usitake
 
Kikaragosi kama wewe wa CCM uliyemsaliti Wilfred Lwakatare kwa vipande 30 vya fedha toka kwa Mwigulu Nchemba unapataje uhalali wa kumtuhumu Lissu? Wewe ni takataka tu ndiyo maana hata huko CCM wamekukanyagia.
 
Joseph Ludovick verified user halafu unaandika ujinga kama huu?
Shame on You πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 
Kikaragosi kama wewe wa CCM uliyemsaliti Wilfred Lwakatare kwa vipande 30 vya fedha toka kwa Mwigulu Nchemba unapataje uhalali wa kumtuhumu Lissu? Wewe ni takataka tu ndiyo maana hata huko CCM wamekukanyagia.
Hii nzuri ❀️ jamaa ni bonge la mnafiki, anawaza TEUZI!!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸš΄πŸš΄πŸš΄
 
Huna hoja! Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…