Tundu Lissu afunguka, mkataba wa Bandari na DP World umekiuka sheria ya ulinzi wa rasilimali. Ni sheria aliyoipambania Hayati Magufuli

Tumechoka na porojo tunataka pesa na ufanisi huko bandarini
Umechoka wewe na nani? Wenye akili wanahoji mambo ya msingi wewe zezeta unataka pesa tu bila kujali hizo pesa zimetoka wapi, na kwa namna ipi, hata kama waliopewa walihongwa kwako hakuna shida, taifa linabeba mizigo ya aina nyingi sana.

Samia na wenzake kina Mbarawa wana mikono michafu, hawafai kutupikia chakula chochote tukala.
 
SASA bungeni unafata nn wakati ni mkataba wa kimataifa na spika tulienae SASA ni wakimataifa pelekeni alipo huko Bunge la dunia tukaujadili na bahati nzuri mwamuzi wa ni yye,tuachane na Bunge hili la kidumu chama.
 
Usituchoshe cha muhimu mkataba mumeusikia kuanzia ukomo Hadi tutakachopata.

Hizo porojo zingine ni kelele zisizo na msingi
 
Chawa wao ni wazaee wa mizinga
 
Sasa tutashitakiwa Icsid
Huko patamu kweli.

Unafikiri mkataba wa maprofesa uchwara huo?

Huo mkataba unasainiwa kwa BismiLlah, si mchezo hapo. Watu wanafanya mambo yao kwa nia njema kabisa.

Huoni lussu alivyohaha hana pa kushika karukia nini? Ulinzi wa mali ya umma. Si aende akalinde bandari isihamishwe.
 
Pesa subiri Vita ya Gaza iishe

Umempa vigeti vinne tu halafu unasubiri Pesa kama ile Jamii ya Mafalah Kule kanani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
Tutamuongezea alifanya vizuri

Mageti mengine wamepewa Adani Port wakishirikiana na AG group ya Abu Dhabi
 
Lini utaenda Gaza kuwapambania jihadist wenzako?
 
Tutamuongezea alifanya vizuri

Mageti mengine wamepewa Adani Port wakishirikiana na AG group ya Abu Dhabi
Zote hizo Mfalme ni Aziz

Shujaa Maguful: Aziz gombea Ubunge Morogoro πŸ˜€

Shughuli ilikamilika kitambo sana Watu wakahamia Dodoma faster kuruhusu Mimeli mikubwa mikubwa Kupita usoni mwa St Joseph πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Mpk sasa wala chakula chao, hutaki rudi kwenu Burundi
 
Ngoja Waarabu waje wawashikishe ukuta ndio mtajua utamu wa hizo fedha.
 
Hoja ni kuwa mkataba umekiuka Sheria. Tuwekee sawa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…