Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Alipwe stahiki zake zote:

1) Gharama za matibabu
2) mushahara yake ya ubunge aliyodhurumiwe na Ndugai
3) Mafao yake ya kumaliza muhula wa ubunge uliokatishwa na yule mnafiki Ndugai

Pia ahakikishiwe usalama, na uchunguze wa waliomshambulia uanze kwa kuhusisha taasisi za kimataifa.
 
Kesi za kina Jummaa pumba maharage , dah ila mwamba alikua kashindikana aisee, ilikua ngumu kumuonea onea kifala kama wanavyoonewa wengine, na urais akagombea na kura akapata vile vile ni kwakau tu ...............aliapa hatatoka
 
Kwani hizo zilikuwa ni kesi au vikao vya majungu vya CCM,

Habari kubwa tungesikia waliompiga Risasi wamekamtwa.
Your browser is not able to display this video.
 
Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Kwa maisha yake ulikuwa una mwendeshea wewe.
Mataga bhana kujifanya mna maisha bora!!!
Kwakuwa hatufahamiani kwa kuonana,bila shaka tungekuona uvaa T-shirt ya kijani ulopewa 2015/na kofia

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Umeandika kama vile unatamani na wewe kula na kulala bure. Basi pia kubali risasi 30 tukuombee ukimbizi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…