Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

Una undugu na Henry Kisanduku aliyempiga risasi 36 Tundu Lissu?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni mkubwa sana kuliko suluhu yoyote hapa duniani.
Watu wengi wa CCM ni kama vitumbili. Hawana upeo wa kujua kilicho zaidi ya nusu mita mbele yao. Laiti wangejua wakati wanapiga kelele, ndani ya serikali na jumuia ya kimataifa kuna majadiliano na maridhiano yanafanyika kwa nguvu zote ili wahanga kama kina Lissu warudi na kuendesha mambo yao kwa uhuru. Taratibu tu lakini watakuja kushangaa mambo yanavyokwenda kubadilika.
 
Samia punguza speed Mama, utawaua hawa SUKUMA gang kwa Sononi, Kifafa, Kifaduro na Pressure mapema sana! Punguza speed ya kupindua Meza za hawa majambazi waliojivika uzalendo fake, waliojipa uTZ namba moja na kuwaona watu wengine wote mavi.
 
Siyo CCM wote, ni haya maporipori yaliyoonjeshwa kupanda V8 ukubwani
 
Arudi nyumbani sasa!

Kumenoga!

Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu yupo uhamishoni / exile akinusuru maisha yake toka kwa watu wasiojulikana ambao mpaka leo vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimeshindwa kuonesha ushahidi kuwa vimejaribu njia zote kuwasaka na kuwakamata waovu wale.

Lakini pia vyombo hivyo vimeshindwa kuomba msaada kwa wananchi kutoa taarifa au kutafuta msaada kwa nchi zenye ujuzi zaidi kuwapa msaada wa kuwatafuta wasiojulikana wakamatwe.

Katika hali kama hiyo inakuwa ngumu kurudi bila kumuhakikishia makamu mwenyekiti wa CHADEMA na viongozi wengine wa upinzani, wanachama na wapenzi wa siasa mbadala kuwa hali ipo shwari na salama Tanzania.

Vyama vingi vya siasa kote ulimwengu kulipokuwa na mazingira hatarishi ya kufanya siasa , baadhi ya viongozi, makada, wanachama na wasomi wenye imani na vyama visivyo ktk utawala waliondoka au kukimbia nchi zao na kurejea pale tu mazingira yote yalipoonekana kuwa mabadiliko makubwa ya dhati yamefanyika .

exile: strategy and tactics 1960-1993
www.sahistory.org.za › archive › african-national-congress-exile-strategy-a...


26 Jun 2019 ... The African National Congress in exile: strategy and tactics 1960-1993. A dissertation submitted to the faculty of the University of North ...

Living in Exile:
www.sahistory.org.za › sites › default › files › Williams_Paper
File Format: PDF/Adobe Acrobat

movements, Kongwa camp Dodoma Tanzania has been a key site in Southern Africa's exile history. First SWAPO and. FRELIMO, and later the ANC, MPLA, ZAPU and other movements, ...


Oliver Tambo returns from exile | South African History Online
www.sahistory.org.za › dated-event › oliver-tambo-returns-exile


Oliver Tambo, former President of the African National Congress (ANC), returns to South Africa after going into exile nearly thirty years ago


Robert Mugabe returns to Rhodesia after being in exile for five years ...
www.sahistory.org.za › dated-event › robert-mugabe-returns-rhodesia-after...


On 27 January 1980, the Rhodesian nationalist leader Robert Mugabe returned to Rhodesia after being in exile for five years. Mugabe had been trying to ...
 
Hapo kawekewa chambo, akijifanya Kuja tu... Anakula cha moto
 
07 December 2021

ACT WAZALENDO, CUF NA NCCR MAGEUZI WAUNGANA KUDAI MBOWE AACHIWE, RAIS SAMIA AMEANGUSHIWA JUMBA BOVU


Mbinyo toka kambi ya upinzani kwa serikali ya CCM wazidi


Source : Mubashara Studio
 
Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Jaribu kua na adabu duniani niwachache Sana mtu Kama LIsu.jiheshimu mkuu
 
LEO Desemba 05, 2021

NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"


LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye ... Mzee Nnauye na wazee wengine wa TANU / CCM walitulea na kutufundisha upendo ...


15 October 2013


Rais Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Singida kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Nyuma ni James Mbatia NCCR Mageuzi, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi


15 October 2013



Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkaribisha Ikulu, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe, Dar es Salaam leo. Nyuma kushoto ni Kiongozi wa NCCR Mageuzi James Mbatia na Professa Ibrahim Lipumba wa CUF
 
Kesi za kina Jummaa pumba maharage , dah ila mwamba alikua kashindikana aisee, ilikua ngumu kumuonea onea kifala kama wanavyoonewa wengine, na urais akagombea na kura akapata vile vile ni kwakau tu ...............aliapa hatatoka
Kweli jamaa alikuwa nguli kwenye sheria, na jasiri haogopi na akirudi watapata tabu sana hawa ndugu zangu CCM
 
Mwanajeshi anatumaliza ccm kirahisi hao wajumbe usikute wamehongwa na dola gandamizi
 
Hakukuwa na kesi,ccm walijitekenya na kucheka wenyewe,just bullshits!
 
Mwanajeshi anatumaliza ccm kirahisi hao wajumbe usikute wamehongwa na dola gandamizi

CCM ni nguli wa kununua watu, miye hata hilo ninafikiri inawezekana kabisa ndiyo maana mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya amesema wataalamu hao wa EESA wasipokuja na ripoti isiyotia shaka atawalima barua kwa mara nyingine.
 
CCM ni nguli wa kununua watu, miye hata hilo ninafikiri inawezekana kabisa ndiyo maana mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya amesema wataalamu hao wa EESA wasipokuja na ripoti isiyotia shaka atawalima barua kwa mara nyingine.
Miaka 5 ijayo tujiandae kua na ulaya mbovu kabisa Mana wale vichwa kabisa washakua wazee wamebakia ambao waliomenyewe niseme robot ...uingereza kujiondoa imetazama mbalisana
 
02 December 2021

Yusuf Makamba -"Anayekuchokoza Usichokozeke, anakushinda hivyo mfanye awe rafiki yako "

Mzee Yusuf Makamba asema kiongozi lazima awe na ngozi ngumu na asikubali kuchokozeka, maana atafanya visasi wakati ana nguvu zote za kumfanya adui wake wa kisiasa rafiki na kwa pamoja wakajenga nchi kama vile Rais Abraham Lincoln alivyokuwa anapingwa vikali na Edwin Staton, lakini rais huyo tajwa ktk historia ya Marekani hakutilia shaka uzalendo na mapenzi ya Edwin Staton kwa nchi ya Marekani....



A History Of Rivals In The White House
Stanton was in some ways a curious choice for his job. Neither a Republican nor a Lincoln supporter before the war, he was notably unimpressed with the new president on first meeting.8 Aug 2017
View attachment 2034293
2017/08/08

Stanton: Lincoln's War Secretary - NPR


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…