Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?

1712870227441.png
 
Ka tweet akiwa wapi? Nchini au Ughaibuni? Kwa mabeberu
 
Ka tweet akiwa wapi? Nchini au Ughaibuni? Kwa mabeber
Watu wenye akili hujadili maudhui siyo aliyeandika maudhi alikuwa wapi? Wewe ulisoma vitabu vya ngugi na wengine walikuwa Tanzania? Unatumia Google hapo ulipo ipo Tanzania? Tuache ujinga ushamba na upumbavu nchi ya kwetu sote hii. Kama huna cha kuandika acha wenye akili wa jadili
 
Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
Screenshot_20240411_211622_X.jpg
 
Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
Maana yake kama katiba imebaki vile vile na hakuna mabdiliko yeyote ya kifungu kuendana na katiba basi tunapoteza muda tuu!
 
Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
Safi sana Lissu
 
Amepata pointi ya kushadidia Katiba mpya.

Point taken.

Atashiriki Uchaguzi? Yeye ndie mrusha bendera wa CHADEMA?
 
Back
Top Bottom