Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
Anamuuliza nani nae aendelee na matembezi mpaka miguu ichomoke!
 
Maana yake kama katiba imebaki vile vile na hakuna mabdiliko yeyote ya kifungu kuendana na katiba basi tunapoteza muda tuu!
Mnachekesha sana, mnasahau kwamba katiba hiyohiyo inampa mamlaka Rais kufuta au kuanzisha taasisi yoyote nchini, nafasi ya naibu waziri mkuu Iko ibara ya ngapi ya katiba? vipi kuhusu ofisi ya taifa ya mashitaka? TL hayuko sawa upstairs sikuhizi.
 
Mwenzio ametaja kifungu na ibara ila wewe unaleta maneno matupu, kweli nchi hii kuna kazi kwelikweli.
 
Mnachekesha sana, mnasahau kwamba katiba hiyohiyo inampa mamlaka Rais kufuta au kuanzisha taasisi yoyote nchini, nafasi ya naibu waziri mkuu Iko ibara ya ngapi ya katiba? vipi kuhusu ofisi ya taifa ya mashitaka? TL hayuko sawa upstairs sikuhizi.
Taja kifungu katika katiba acha mdomo.
 
Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?

NCHI HII KWA SASA INATUMIA KATIBA YA CCM NA NDIO MAANA KUNA WABUNGE 19 BUNGENI WASIO NA CHAMA KINYUME NA KATIBA YA NCHI LAKINI KWA KATIBA YA CCM NI SAHIHI
 
Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?

hivi bado kuna watanzania wanamwamini huyu mbelgiji?
 
🤣 kibaraka bana dah!!

huko ni kufilisika hoja au uchovu, hata jina una babaika nalo...🐒
 
Maana yake kama katiba imebaki vile vile na hakuna mabdiliko yeyote ya kifungu kuendana na katiba basi tunapoteza muda tuu!

Neno Tume Huru ya Uchaguzi ni mbwembwe za kishetani za CCM kuwadanganya wasio na akili.
 
Aishangazi maana alitangaza maridhiano alafu unachagua mtekaji,mtukanaji aliyetuhumiwa kudhulumu maisha kwenda kumwakilisha mkoa Fulani...
Hizo 4R na tumehuru ni mazingaombwe tuu hakuna uhalisia wowote.
Ogopa sana mtu ndani ya mfungo anafanya haya....
 
hivi bado kuna watanzania wanamwamini huyu mbelgiji?
Hebu tuambie,wewe unaitwa "Silicone Valley", na imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa na vyeti vyako vya shule.
Tukimtafuta "Silicon Vally" itakuwa ni wewe au ni mwingine!!??
 
Back
Top Bottom