Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Bado anaomboleza yale ya march 2021. Mwache akili hazijarudi. Mtu mwenyewe anaitwa mjinga waoWewe hata bendera fuata upepo ina nafuu , yaani sijui nikuiteje , kipeperushi au sijui kitu gani yaani !
Anamuuliza nani nae aendelee na matembezi mpaka miguu ichomoke!Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:
Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
Kumbe ukitembea sana miguu huchomoka? Basi miguu ya babu yako kule kijijini ilichomoka na kusagika kabisaAnamuuliza nani nae aendelee na matembezi mpaka miguu ichomoke!
Mnachekesha sana, mnasahau kwamba katiba hiyohiyo inampa mamlaka Rais kufuta au kuanzisha taasisi yoyote nchini, nafasi ya naibu waziri mkuu Iko ibara ya ngapi ya katiba? vipi kuhusu ofisi ya taifa ya mashitaka? TL hayuko sawa upstairs sikuhizi.Maana yake kama katiba imebaki vile vile na hakuna mabdiliko yeyote ya kifungu kuendana na katiba basi tunapoteza muda tuu!
Mwenzio ametaja kifungu na ibara ila wewe unaleta maneno matupu, kweli nchi hii kuna kazi kwelikweli.Mnachekesha sana, mnasahau kwamba katiba hiyohiyo inampa mamlaka Rais kufuta au kuanzisha taasisi yoyote nchini, nafasi ya naibu waziri mkuu Iko ibara ya ngapi ya katiba? vipi kuhusu ofisi ya taifa ya mashitaka? TL hayuko sawa upstairs sikuhizi.
Taja kifungu katika katiba acha mdomo.Mnachekesha sana, mnasahau kwamba katiba hiyohiyo inampa mamlaka Rais kufuta au kuanzisha taasisi yoyote nchini, nafasi ya naibu waziri mkuu Iko ibara ya ngapi ya katiba? vipi kuhusu ofisi ya taifa ya mashitaka? TL hayuko sawa upstairs sikuhizi.
Chumbani kwa mamakoKa tweet akiwa wapi? Nchini au Ughaibuni? Kwa mabeberu
Haya ndio nini!Kumbe ukitembea sana miguu huchomoka? Basi miguu ya babu yako kule kijijini ilichomoka na kusagika kabisa
NCHI HII KWA SASA INATUMIA KATIBA YA CCM NA NDIO MAANA KUNA WABUNGE 19 BUNGENI WASIO NA CHAMA KINYUME NA KATIBA YA NCHI LAKINI KWA KATIBA YA CCM NI SAHIHIAmeandika hivi kupitia mtandao wa X:
Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
hivi bado kuna watanzania wanamwamini huyu mbelgiji?Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:
Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
Labda Daktari Ndumbaro.Hivi huko serikalini hakuna hata mmoja mwenye angalau kuepusha hii aibu?
🤣 kibaraka bana dah!!Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:
Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
Ka tweet akiwa wapi? Nchini au Ughaibuni? Kwa mabeberu
Maana yake kama katiba imebaki vile vile na hakuna mabdiliko yeyote ya kifungu kuendana na katiba basi tunapoteza muda tuu!
Hebu tuambie,wewe unaitwa "Silicone Valley", na imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa na vyeti vyako vya shule.hivi bado kuna watanzania wanamwamini huyu mbelgiji?