Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

Leo niliwepo hapa Morogoro katika kiwanja cha Mashujaa kumsiliza Lissu,huyu jamaa Mungu kamjalia kujenga hoja na anapozungumza nashawishika kumsikiliza kila neno.Yuko tofauti na washindani wake.Alichoongea pale Morogoro leo imekuwa gumzo.Wakati tunarudi nyumbani nimewasikia watu wakisema CCM safari hii sasa basi.Watanzania wengi wameumizwa na utawala huu kwa namna tofauti tofauti
 
Saharavoice
Njoo huku uelimike mkuu
 
Sio ya uongo ila amecheza na angle ili picha ionekane anavyotaka yeye . kwa wapiga picha wanalijua hili ,pia ame crop na kuondoa vitu ambavyo hakutaka vionekane
Hahahaha mavi yanakutoka
 
Pumba
 
Sasa hizo picha ndo kufuta CCM morogoro? Au hiyo kanzu na baraghashia ndo kufuta CCM Moro?
Ajabu Sana.
Hivi Lissu anafikiri anaweza kuwalaghai waislamu kwa kuvaa kanzu na kofia kila Ijumaa? Nafikiri Lissu hajui imani ya uislamu! Hata, figisu figisu za mabeberu wameshindwa kujua imani ya usilamu ikoje, sasa huyu Lissu anaona anaweza kuwahadaa simply kwa kuvaa kanzu na balaghshia kila ijumaa! Uislamu siyo maigizo hata kidogo - alijue hilo na asije akajikosesha kura zao kwa kukebehi dini yao.
Mbona sijamuona akivaa kama singasinga!
 
Watu wanakusanywa, wanapewa pesa na manguo ya ccm wanaambiwa wavae, then wanasombwa na malori kwenda kwa mikutano ya ccm.. na siyo wanachama!
 
Ndiyo maana kuna ule msemo unaosema hivi: Wabunge 10 wa CCM ni sawa na Mbunge mmoja tu wa Chadema.
Sio 10 mkuu, ni 100! Halafu ukichukua design ya akina lusinde na musukuma labda wawe 1000 ndo Tundu Lissu mmoja.
 
Wewe umeumizwaje bwashee?!
 
Lissu anavaa kanzu kama ishara ya kuheshimu dini ya uislamu, anavaa kanzu kuonesha kuwa atakuwa kiongozi wa dini zote sio wakristo tu, anavaa kanzu kuonesha anaguswa na madhira wanayofanyiwa waislamu wa nchi hii hasa masheikh waliopo magerezani.

Kama imekuuma tulia tu dawa ikuingie. Huyu ndo Tundu Lissu kipenzi cha Mungu na Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…