Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

Goto hoja ya kuponda ujenzi ilisababisha azomewe mbagala.Kule wanajengewa barabara ya mwendo kasi alipojitia kuponda ujenzi wakaamza kumzomea

Fikiria kijiji kilikuwa hakina Barabara wala zahanati watu wakijitwika waja wazito vichwani kupeleka mgonjwa.kujifungua mbali leo uponde useme hizo barabara na hospital zilizojengwa hazima maana hazigusi maendeleo yao kama watu eti hayo ni maendeleo ya vitu sio watu!!! Wakikupiga mawe hao wanakijiji utasema wamekuonea?

Hizo hoja aongelee labda kule ambako watu hawana shida nazo.Ukute watu hawana daraja kila mwaka watu wanaliwa na mamba wakivuka mto kwa miguu. SERIKALI Imewajengea daraja wananusurika halafu Lisu afike aponde you ujenzi wa hilo daraja sipati picha ya kitakachomkuta

In short Lisu anaruka ruka sababu sera Jan a pia watu hutaka maendeleo watu wanajengewa shule na waliihitaji ufike pale useme hii mijemgo sio maendeleo ya watu ni ujinga mtupu yeye ndie mjinga
Ni sawa kabisa lakini hebu nawe fikiria Ethiopia ambapo miundo mbinu imejengwa,shirika la ndege lisiloyumba miaka mingi,ukusanyaji wa kodi kwa EFD mpaka magengeni lakini bado watu wanakimbia.Watu hawaiishi kwa mkate tu.
Ninachokiona ni kuwa Lissu atamfungua macho Magufuli na naamini Magufuli atabadilka sana in the second term (In short atapunguza ubabe na kujikita kujenga mifumo kuliko kuogopewa yeye binafsi kama ilivyo sasa)
 
Ccm imani Yao kubwa ni kupata kura kwa Managua kama ilivyoagizwa na mwenyekiti wao! La sivyo unamengua mbunge kwa ajili gani?
Lawyers wa Znz wamesema huwezi kumwondoa
 

Attachments

  • VID-20200905-WA0005.mp4
    4.4 MB
  • IMG-20200905-WA0003.jpg
    IMG-20200905-WA0003.jpg
    60.4 KB · Views: 1
Kila kona ya nchi ni Tundu Lissu.. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Leo niliwepo hapa Morogoro katika kiwanja cha Mashujaa kumsiliza Lissu,huyu jamaa Mungu kamjalia kujenga hoja na anapozungumza nashawishika kumsikiliza kila neno.Yuko tofauti na washindani wake.Alichoongea pale Morogoro leo imekuwa gumzo.Wakati tunarudi nyumbani nimewasikia watu wakisema CCM safari hii sasa basi.Watanzania wengi wameumizwa na utawala huu kwa namna tofauti tofauti
Ndoto nzuri
 
Kila anakopita Tundu Lissu ni anafyekelea mbali rangi za kijani na njano.. Lissu mwanaume bwana. Tarehe 28 October tunampa nchi yake rasmi. Tanzania itayoongozwa na Tundu A Lissu itafana sana. We can’t wait [emoji4].

Jiwe out!
 
Back
Top Bottom