residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
"People shouldn’t be afraid of their government. Governments should be afraid of their people".
V for Vendetta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"People shouldn’t be afraid of their government. Governments should be afraid of their people".
Hakuna mwana ccm mwenye uwezo wa kumjibu Lissu, kumbuka kauli ya kikwete, n" ni bora wananchi wampigie kura Dr. Slaa lakini sio LisuuTutarajie kumwona polepole tena akitumia masaa 6 kujibu nondo za Lissu
Ni sawa kabisa lakini hebu nawe fikiria Ethiopia ambapo miundo mbinu imejengwa,shirika la ndege lisiloyumba miaka mingi,ukusanyaji wa kodi kwa EFD mpaka magengeni lakini bado watu wanakimbia.Watu hawaiishi kwa mkate tu.Goto hoja ya kuponda ujenzi ilisababisha azomewe mbagala.Kule wanajengewa barabara ya mwendo kasi alipojitia kuponda ujenzi wakaamza kumzomea
Fikiria kijiji kilikuwa hakina Barabara wala zahanati watu wakijitwika waja wazito vichwani kupeleka mgonjwa.kujifungua mbali leo uponde useme hizo barabara na hospital zilizojengwa hazima maana hazigusi maendeleo yao kama watu eti hayo ni maendeleo ya vitu sio watu!!! Wakikupiga mawe hao wanakijiji utasema wamekuonea?
Hizo hoja aongelee labda kule ambako watu hawana shida nazo.Ukute watu hawana daraja kila mwaka watu wanaliwa na mamba wakivuka mto kwa miguu. SERIKALI Imewajengea daraja wananusurika halafu Lisu afike aponde you ujenzi wa hilo daraja sipati picha ya kitakachomkuta
In short Lisu anaruka ruka sababu sera Jan a pia watu hutaka maendeleo watu wanajengewa shule na waliihitaji ufike pale useme hii mijemgo sio maendeleo ya watu ni ujinga mtupu yeye ndie mjinga
Photoshop hakuna kitu paoja na picha za uchaguzi wa 2015 kama anabisha mtu nilete ushahidi hapa.Chadema hufurahia picha za mikutano. CCM hufurahia kura za sandukuni.
Ndiyo tofauti zao
LISU YUPO KWENYE MIOYO YA WATU ,NA MWINGINE YUPO KWENYE MABANGO 🤣🤣🤣Chadema hufurahia picha za mikutano. CCM hufurahia kura za sandukuni.
Ndiyo tofauti zao
Vip za CCM za kupiga picha asubuhi kwenye mikutano ya chadema?
Ndoto nzuriLeo niliwepo hapa Morogoro katika kiwanja cha Mashujaa kumsiliza Lissu,huyu jamaa Mungu kamjalia kujenga hoja na anapozungumza nashawishika kumsikiliza kila neno.Yuko tofauti na washindani wake.Alichoongea pale Morogoro leo imekuwa gumzo.Wakati tunarudi nyumbani nimewasikia watu wakisema CCM safari hii sasa basi.Watanzania wengi wameumizwa na utawala huu kwa namna tofauti tofauti
Duh! Unajimu wako upo juu ya maharamu/marehemu Sheikh YahyaLISU YUPO KWENYE MIOYO YA WATU ,NA MWINGINE YUPO KWENYE MABANGO 🤣🤣🤣
The most arrogant JF member. MKUU HONGERA SANA KWA KUCHAGUA UJINGA ! 🤣🤣🤣Duh! Unajimu wako upo juu ya maharamu/marehemu Sheikh Yahya
Kuwa mioyoni mwa watu bila dola inasaidia nini.LISU YUPO KWENYE MIOYO YA WATU ,NA MWINGINE YUPO KWENYE MABANGO 🤣🤣🤣
Congratulations for being the brilliant one but in the group of deranged peopleThe most arrogant JF member. MKUU HONGERA SANA KWA KUCHAGUA UJINGA ! 🤣🤣🤣
Congratulations for being the brilliant oneThe most arrogant JF member. MKUU HONGERA SANA KWA KUCHAGUA UJINGA ! 🤣🤣🤣
Absolutely. ThanksCongratulations for being the brilliant one
You are completely out of CONTEXIT, Completely out of PROPORTIONAL😁🤣🤣🤣Kuwa mioyoni mwa watu bila dola inasaidia nini.
Dr. Slaa mlimwita hivyo, iliwasaidia nini bila kuchukua dola
Kushangiliwa mwanzo mwisho sio issue. Ukweli uko pale pale, Rais ni JPM.Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
View attachment 1566658View attachment 1566659View attachment 1566660View attachment 1566661