Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

Ni sawa kabisa lakini hebu nawe fikiria Ethiopia ambapo miundo mbinu imejengwa,shirika la ndege lisiloyumba miaka mingi,ukusanyaji wa kodi kwa EFD mpaka magengeni lakini bado watu wanakimbia.Watu hawaiishi kwa mkate tu.
Ninachokiona ni kuwa Lissu atamfungua macho Magufuli na naamini Magufuli atabadilka sana in the second term (In short atapunguza ubabe na kujikita kujenga mifumo kuliko kuogopewa yeye binafsi kama ilivyo sasa)
 
Ccm imani Yao kubwa ni kupata kura kwa Managua kama ilivyoagizwa na mwenyekiti wao! La sivyo unamengua mbunge kwa ajili gani?
Lawyers wa Znz wamesema huwezi kumwondoa
 
Kila kona ya nchi ni Tundu Lissu.. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ndoto nzuri
 
Kila anakopita Tundu Lissu ni anafyekelea mbali rangi za kijani na njano.. Lissu mwanaume bwana. Tarehe 28 October tunampa nchi yake rasmi. Tanzania itayoongozwa na Tundu A Lissu itafana sana. We can’t wait [emoji4].

Jiwe out!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…