Siyo kupumzika tu watalipa vyote walivyofisadi nchi hii!!Chadema wawapumzishe watawala maana wanalala hawana hamu na chadema
Nyie mtabaki kuwa manyumbu tu na mtaambulia manyoya
Mpaka Sasa mwajua hamna chenu ndio maana mwaanza tembeza chili tu kwa Serikali na vyombo vyake lkn kunausemi usemwao "Dua la kuku alimpati mwewe" mtahangaika Sana lkn chamoto mtakiona tena asubuhi sanaHata uchaguzi ukifanyika na Magufuli na genge lake la ccm wakafanikiwa kuchakachua matokeo, lakini atakuwa amejua kabisa hajafanikiwa kuua upinzani kama yeye binafsi na wapambe wake walivyojidanganya. Na amejua kabisa wanaomkubali ni wanaccm wenzake na watanzania kadhaa, lakini sio watanzania wote.
Kaka umeongea mambo ya Msingi sana!Tume imepiga jiwe gizani kwa kutokitaja Chama chochote zaidi ya kutoa Onyo kwa vyama hivyo. Sasa Kama Chadema hawana makosa wanajibu nini? Si wakae kimya halafu Tume ifanye kazi.
Pili. Tundu Lisu amesoma hayo Maadili, na kusema kua wameshurutishwa kusaini ni uongo. Yeye alikua Ubelgiji kaja kuchukua Fomu na kurudisha. Angegoma Basi kusaini siku ya uteuzi.
Tatu, Maadili hayo yanasimamiwa na Kamati maalum ya Maadili Kitaifa yeye anajua na wajumbe wa hiyo Kamati ni wawakilishi kutoka Kila Chama kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu, hivyo Mgombea anaeona Kuna shida nadhani Maadili yamemtaka kupeleka malalamiko huko kwa kamati. Sio kulalamika majukwaani.
Hivyo naishauri Chadema na vyama vingine wanaoona Kuna shida hizo Kamati zipo kuanzia ngazi ya Kata, Jimbo na Taifa na kuna Kamati ya Rufaa.
Nani hajapanic? Hebu kuwa na huruma na huyo 'mchunga ng'ombe' anayeeleka kibla.Ni wa kati gani Rais wa nchi anakuwa sio Rais? Tatizo hapa sio ahadi, tatizo ni mtu anatukana wagombea wenzake tena kwa kuwataja kwa majina. Lissu kwenye jambo hili yupo guilty kabisa na ndio maana anajishuku. Mbona wenzake hawajapanic????
Yeye anadhani anaweza kuitisha Tume kwa kauli zake za vitisho lakini anajidanganya.
Mtabadilisha sana ID mpaka mwisho wa dahari!Mpaka Sasa mwajua hamna chenu ndio maana mwaanza tembeza chili tu kwa Serikali na vyombo vyake lkn kunausemi usemwao "Dua la kuku alimpati mwewe" mtahangaika Sana lkn chamoto mtakiona tena asubuhi sana
Zwazwa ni wewe ambae hujui kitu badara yake umekuwa bendera tu.sasa ulitaka yaende wapi wakati Kuna Sheria na kanuni za uchaguziItoshe kusoma wewe ni zwazwa mkuu, yaani kwa Hali hii ya 'kisiasa' malalamiko yapelekwa kwa akina Hashim rungwe na profesa chawa?
Ndo kamati ya maadili hiyo? Kanywe maji ukalale!
Ni wa kati gani Rais wa nchi anakuwa sio Rais? Tatizo hapa sio ahadi, tatizo ni mtu anatukana wagombea wenzake tena kwa kuwataja kwa majina. Lissu kwenye jambo hili yupo guilty kabisa na ndio maana anajishuku. Mbona wenzake hawajapanic????
Yeye anadhani anaweza kuitisha Tume kwa kauli zake za vitisho lakini anajidanganya.
Hawa jamaa wasikukimbie wamekwisha gundua kuwa Awana chao ndio maana wameanza kutafuta chokochoko.wanatakiwa waelewe kuwa hii no Tz na sio Rwanda Wala burundi.wao wanapoteza muda tu kumsindikiza JPM ikuluMkurugenzi alisisitiza umhimu wa kutunza amani kipindi hiki cha uchaguzi kuwa ni jukumu la wagombea wote sasa kuhamasisha kuvunja amani haiwezi kuwa ajenda ya chama chochote cha siasa na wananchi makini tukabariki tuilinde amani kwa nguvu zote maana hatuna nchi nyingine zaidi ya hii na amani ikipotea wazee, watoto, akinamama ndo watakao umia zaidi hivyo tusikubali kuvuruga amani kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache wenye nia ovu
Kuwafungisha shule watoto wa shule na kwenda kwenye kampeni ndio kufuata Sheria?Zwazwa ni wewe ambae hujui kitu badara yake umekuwa bendera tu.sasa ulitaka yaende wapi wakati Kuna Sheria na kanuni za uchaguzi
Mpaka Sasa mwajua hamna chenu ndio maana mwaanza tembeza chili tu kwa Serikali na vyombo vyake lkn kunausemi usemwao "Dua la kuku alimpati mwewe" mtahangaika Sana lkn chamoto mtakiona tena asubuhi sana
Unawajua wajumbe wa hizo kamati?Itoshe kusoma wewe ni zwazwa mkuu, yaani kwa Hali hii ya 'kisiasa' malalamiko yapelekwa kwa akina Hashim rungwe na profesa chawa?
Ndo kamati ya maadili hiyo? Kanywe maji ukalale!
ACHENI KUIPAKAZA MATOPE TUME,Duh,mbona kawavua nguo NEC.aibu iliyoje kama ndo Tanzania viongozi wenye dhamana akili zipo hivi!.
Kumbe Lisu yupo sahihi,kitakachotokea basi atakae beba mzigo in TUME.
Jamani watu walishaelimika Ccm iache vimbwanga.huu mwaka wa Shetani aliyeruka kiunzi cha kifo.
Dah,aliyesema upinzan umekufa nadhani yeye ndo moyo umeshakufa.
Nipo bize na bongofreva kwenye siasa sipo.amen
Umeshawasiliana na Tume kama hakuna malalamiko. Mwaka huu jua la utosi sijui kama mnaliona. Jamaa anatumia gari za serikali kawa kinyonga kuzibadilisha rangi tu.Huyu jamaa yenu anawalisha matango pori tu Tena ya kwasababu anapiga kelele tu mitandaoni badala ya kufuata utaratibu nimesoma kanuni za maadili ya Uchaguzi zinasema unatakiwa kutoa taarifa ya maandishi ktk sehemu husika ndani ya masaa 72 toka ukiukwaji wa maadili ulipofanyika.sasa kulalama tu Kama hayawani bila kutekereza hayo ni kazi bure.
Even lies now are turned to truthKuna baadhi ya vitu hii nchi vinauma sana
Ila Mungu yupo
TL is saying nothing but the truth.,