Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 295
- 198
Mh. Tundu Lisu, andaa mapingamizi kwa:-
KAULI ZA VITISHO (Mkichagua UPINZANI MTAJUTA)
Ahadi za utendaji (Tatajenga Hospital au Shule)
Agizo kwa Mtendaji wa TANROAD/TARULA la kuanza Ujenzi wa barabara kule Sengerema na pesa za ujenzi AULIZWE Mgombea wa URAIS.
Kuongozana na Watendaji (Watumishi) wa UMMA na MAGARI YA UMMA kwenye KAMPENI.
KUMTUMIA WAZIRI MKUU KUZUNGUKA NCHI NZIMA AKIOMBA KURA KWA MGOMBEA URAIS WA CHAMA KINGINE.
Unafki wa Tume ni pamoja na kumpitisha yeye kuwa Mgombea kwa kutumia Busara. Kama Candidate hajui kujaza Fomu za Urais kwa ufasaha na wapi azipitishe zikakaguliwe vipi hao wabunge wake?Tunashukuru Lisu ameweka wazi unafiki wa tume ya uchaguzi hadharani. Hii inazidi kudhihirisha kuwa tume sio huru.
Tunajua Tume ilimbeba kwenye hili, na tuwaite wanafki kwa kumbeba