Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Mh. Tundu Lisu, andaa mapingamizi kwa:-

KAULI ZA VITISHO (Mkichagua UPINZANI MTAJUTA)

Ahadi za utendaji (Tatajenga Hospital au Shule)

Agizo kwa Mtendaji wa TANROAD/TARULA la kuanza Ujenzi wa barabara kule Sengerema na pesa za ujenzi AULIZWE Mgombea wa URAIS.

Kuongozana na Watendaji (Watumishi) wa UMMA na MAGARI YA UMMA kwenye KAMPENI.

KUMTUMIA WAZIRI MKUU KUZUNGUKA NCHI NZIMA AKIOMBA KURA KWA MGOMBEA URAIS WA CHAMA KINGINE.
Tunashukuru Lisu ameweka wazi unafiki wa tume ya uchaguzi hadharani. Hii inazidi kudhihirisha kuwa tume sio huru.
Unafki wa Tume ni pamoja na kumpitisha yeye kuwa Mgombea kwa kutumia Busara. Kama Candidate hajui kujaza Fomu za Urais kwa ufasaha na wapi azipitishe zikakaguliwe vipi hao wabunge wake?
Tunajua Tume ilimbeba kwenye hili, na tuwaite wanafki kwa kumbeba
 
Huyu jamaa yenu anawalisha matango pori tu Tena ya kwasababu anapiga kelele tu mitandaoni badala ya kufuata utaratibu nimesoma kanuni za maadili ya Uchaguzi zinasema unatakiwa kutoa taarifa ya maandishi ktk sehemu husika ndani ya masaa 72 toka ukiukwaji wa maadili ulipofanyika.sasa kulalama tu Kama hayawani bila kutekereza hayo ni kazi bure.
Hawa mabwana wanadanganyana na kulishana ujinga. Na kuamini kila kitu.
Wapambane huko sio kuwasingizia Tume eti ina makosa. Wafa maji
 
Ibara ya 74(11) ya katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 katika kutekeleza majukumu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi haitashinikizwa wala kulazimishwa kufuata ushauri wowote wa chama cha siasa au idara au mtu yoyote.
Wagombea wasome katiba ya nchi yetu badala ya kuitisha Tume maana haitasaidia kwa lolote katika maamuzi yake na ndo Uhuru wa Tume.
 
Halafu game ni dakika 90 unaacha kucheza mpira unamtisha refa ukifungwa kihalali je utamlaumu refa kuwa hakukupendela gangamala kunadi sera baba badala ya kulialia muda wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wanaitisha tume ili iwape ushindi wa huruma. Muda wa Kampeni! Nadi sera zako. Mgombea gani kila siku malalamiko ya uongo kama mpiga debe wa mabasi??
 
Itoshe kusoma wewe ni zwazwa mkuu, yaani kwa Hali hii ya 'kisiasa' malalamiko yapelekwa kwa akina Hashim rungwe na profesa chawa?

Ndo kamati ya maadili hiyo? Kanywe maji ukalale!
Alichokueleza ni sahihi kabisa, kumwambia anywe maji akalale ni kukosa hoja.
 
Wataelewa tu,kanun znavunjwa kila kukicha na bwana yule wala huwackii wakinyanyua mdomo
Tueleze hapa ni KANUNI GANI ZIMEVUNJWA?
Mmechukua hatua gani?
Acheni kukurupuka Kima nyie. Pigeni kampeni tukutane kwenye sanduku la kura
 
Aende wapi huyo ataishia kuchechemea tu
Mwenyezi Mungu huwa halali;kiufupi kumsema vibaya mlemavu yeyote kwa sababu ya hali yake ni Laana (Mwanadamu hajafa hajaumbika).Magufuli pamoja na yote hajawahi kufanya haya unayoyasema-Its shaim;someday God will pass you Through this and its where you will understand.
Kwenye familia zetu wengine tunaishi na walemavu ambao kifikra tunatofautiana lakini si vyema kumsema kwa ukilema wake kujenga hoja binafsi
 
Onesha ni sheria gani imekiukwa?
Acha kuweweseka pimbi wewe!
Na ukisha onesha ukiukwaji, kesho wahi ofisi za tume kuwasilisha malalamiko yako. Usituimbie ngonjera mtawanyiko hapa
 
Kweli kabsa ni haki yako mbuzi jike kumuogopa beberu
ACHENI KUIPAKAZA MATOPE TUME,
KWA ULOFA WENU. TENA WATANZANIA TUKO MACHO KWELI KWELI NA HUU MPASUKO MNAOTAKA KUTULETEA!
LISU AACHE UONGO NA ANADI SERA SIO KULETA CHUKI. MTASAMBARATISHWA NINYI NA HUYO BEBERU WENU!
NA TANZANIA ITABAKI IMARA
 
Duh,mbona kawavua nguo NEC.aibu iliyoje kama ndo Tanzania viongozi wenye dhamana akili zipo hivi!.


Kumbe Lisu yupo sahihi,kitakachotokea basi atakae beba mzigo in TUME.

Jamani watu walishaelimika Ccm iache vimbwanga.huu mwaka wa Shetani aliyeruka kiunzi cha kifo.

Dah,aliyesema upinzan umekufa nadhani yeye ndo moyo umeshakufa.

Nipo bize na bongofreva kwenye siasa sipo.amen
Kweli Mwaka wa shetani. Anayesambaza uongo na chuki, halafu Mashabiki mnamkimbilia bila kutafiti.
Akaendelee kuwadanganya wabelgiji waliompa uraia. Sisi Watanzania, Tutaisimamia amani yetu!
 
Jamani kuwa CCM kwa kijana ni jambo la ujasiri🤣🤣🤣🤣;inahitaji uwe empty vessel kweli kweli
 
Hahaaa jamaa ana gubu kinomanoma. Hahaaa kila siku ni lawama tu.
Mbona kwenye maendeleo anatajwa mtu tena kwa jina muda wote, iweje akitajwa upande wa pili wa shilingi hamtaki atajwe kwa jina? Haitishi tume, bali ameanika unafiki wa hiyo tume isiyo huru ya uchaguzi. Nilitarajia ungesema asimtaje Magufuli kwa jina,lakini ukiri mambo aliyoyotaja kuwa tume inafanya kwa double standard. Kinyume na hapo haya maoni yako ni mambo ya mahaba niue.
Yaani wanaitisha tume ili iwape ushindi wa huruma. Muda wa Kampeni! Nadi sera zako. Mgombea gani kila siku malalamiko ya uongo kama mpiga debe wa mabasi??
 
Kweli kabsa ni haki yako mbuzi jike kumuogopa beberu
Tunajua Mkiishiwa Hoja... Kinachofuata vijana ww ufipa ni Matusi.
Kwakuwa tunayo mengi ya kuwafundisha. Tutaendelea kuwaelimisha. Matusi tumeyaacha Jalalani kwa sasa!
Sasa nakusisitiza TANGAZENI SERA KAMA MNAZO SIO UZUSHI WENU! HAUTUSAIDII
 
Back
Top Bottom