Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

With what basis for NEC to feel that Shame?
Au ni kawaida kudakia mada na kupata mihemko?
 
Hawa jamaa mwaka huu watapoteana. 2015 almost majimbo yote Dar na Kilimanjaro walichukua wao lakini bado hawakuacha kuitukana Tume. Sasa 2020 naona hawana sera na ule upepo wa Mhe. Lowassa hauvumi tena, yani watapoteanaaaaa. Yeye atukane tu ila tarehe 28 Oktoba 2020 sio mbali wa tz wataamua.
 
Na wewe jipange ukipata ufanye ili uitwe jina lako.
Maana huna jipya zaidi ya Wivu wa kichawi
 
Aambiwe kabla hajaifikia Tume iliyo kwa Mujibu wa Sheria! Na inalitumikia Taifa. Sisi Wananchi tusiokubaliana na ujinga huu. Tutamalizana nae yeyy na genge lake
 
Hili hawajaliona Boss wangu!
Wananchojua wao ni propaganda Mshenzi tu!
 
NEC can't be ashamed of baseless allegations leveled by such an idiot/a sellout, this guy is really betraying his country and we the people of Tanzania [emoji1241] will show him that we are not ready to be colonised once more.
SHAME ON YOU NEC.
 
Vijana Mishen town hawa. MADALALI WA BINADAMU [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
NEC can't be ashamed of baseless allegations leveled by such an idiot/a sellout, this guy is really betraying his country and we the people of Tanzania [emoji1241] will show him that we are not ready to be colonised once more.
Thank you [emoji3508] kalee for making this very clear!!
Ufipa boys, take note!!
 
Kama Rais wao anatembeza kikapu unaweza kuona ni kwa jinsi gani wao wana njaa. Yani chama kimekaa design kama kundi la wanyang'anyi.
Vijana Mishen town hawa. MADALALI WA BINADAMU [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
majukwaa ya kampeni sio njia ya kufikisha malalamiko ya kiuchaguzi.huyo lissu alichukua hatua gani kuwasilisha malalamiko kwenye kamati za maadili au amezoea mipasho kila kitu anajua ni siasa
 
Huyu mjamaa hata muonekano wake tu yupo kama mtu mhalifu na matendo yake pia ya kihalifu. Mipombe ya Ulaya imemharibu kichwa.
 
Kwa jina la yes awezi ruhusu nguvu za kiibilisi Kama za lisu na wafuasi wake .hakika watashindwa vibaya Sana
 
Ndiyo Imani unayojipa?!
Haya umetumika kuwalazimisha wanafunzi wangapi?
Na wakiohiyari kwenda unawajua?
Siasa zenu kila kona ni uongo uongo tu!
Tume iliyompitisha huyo Mgombea wenu haijawahi kuwa na Fitna wala majungu na huyo ndugu yenu. Mwambie aache kujipendekeza tupige kampeni tukutane Jumatano ya 28 OKTOBA. Tupimane kwa sera bora
 
majukwaa ya kampeni sio njia ya kufikisha malalamiko ya kiuchaguzi.huyo lissu alichukua hatua gani kuwasilisha malalamiko kwenye kamati za maadili au amezoea mipasho kila kitu anajua ni siasa
Mwanasheria asiyetaka kufuata Sheria. Anakuambia anataka katiba mpya sasa kama Maadili tu ya Uchaguzi yanamshinda hiyo katiba mpya ataweza kweli? Ndio yaleyale ya kusema akishinda hatakusanya kodi halafu akimaliza mkutano anachangisha pesa za kampeni yani jamaa wana njaa mpaka kichogoni.
 
Tumeshamjua Lissu amerudi Tanzania kuhakikisha anavuruga uchaguzi ili awape mabwana zake huko Ulaya sababu ya kuutia kasoro uchaguzi maana anaamua kuishambulia Tume ili imchukulie hatua za sheria alafu ionekane anaonewa. Ila kama kweli anayo malalamiko ya maadili apeleke kwenye kamati za maadili sio kushambulia watu kwenye kampeni maana inavyoonekana hana Sera na sasa anatafuta huruma za mabwana zake waliomtuma.
 
Kuwafungisha shule watoto wa shule na kwenda kwenye kampeni ndio kufuata Sheria?
Wewe Ni kiazi kibichi na Bora ushtuke mapema sidhani Kama wiki ijayo mtapewa 'allowance' hapo koridoni Lumumba
Kumbe ata mihula ya shule kwa mwa 2029 huijui kazi yako ni kuwa bendera tu.muwe mnapitapita mnajua yanayoendelea duniani sio kukropoka tu
 
Hivi Mnamjua Mungu?
Anayechukizwa na uongo na fitna, ndio huyo huyo mnaemuita aje kuwatetea mnapoumbuliwa!
Mungu hawahudumii WACHAWI na WAFITINI
Amini nakuambia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…