Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Waje lakini sio kwa KULAZIMISHA
Hivi wewe upo kijijini wasanii Kama Diamond, Kiba, Hamonize nk unawaona tu katika tv leo wamekuja na Shule mmeshatoka mtaacha kwenda kuangalia na kuwaona Live.
 
kama tume sio huru kwa nini mnashiriki uchaguzi?

Kwahiyo mnaifanya tume iendelee kuwa kibogoyo ili tususie uchaguzi? Ombeni na uchaguzi huu watu waendelee kuwa makondoo, kinyume na hapo mtafurahi.
 
Hivi wewe upo kijijini wasanii Kama Diamond, Kiba, Hamonize nk unawaona tu katika tv leo wamekuja na Shule mmeshatoka mtaacha kwenda kuangalia na kuwaona Live.
Mimi najielewa na nipo kweli bush

Hata aje nani so long ni mikutano ya CCM siezi kwenda hata kwa ngumi.
 
Lissu ni chaguo letu sio yule wa kuleta wanafunzi na wasanii kuaminisha anapendwa[emoji23][emoji23][emoji111][emoji111]

Ndio maana anakuwa mkali na kutufokea wananchi mara nina sura mbaya mara mtajuta,

Mbona lissu kajawa furaha na amani?

Ni kwasababu anapendwa na watu bila kutumia nguvu fake.

Ni yeyeView attachment 1571684View attachment 1571685View attachment 1571686
Tume imepiga jiwe gizani kwa kutokitaja Chama chochote zaidi ya kutoa Onyo kwa vyama hivyo. Sasa Kama Chadema hawana makosa wanajibu nini? Si wakae kimya halafu Tume ifanye kazi.

Pili. Tundu Lisu amesoma hayo Maadili, na kusema kua wameshurutishwa kusaini ni uongo. Yeye alikua Ubelgiji kaja kuchukua Fomu na kurudisha. Angegoma Basi kusaini siku ya uteuzi.

Tatu, Maadili hayo yanasimamiwa na Kamati maalum ya Maadili Kitaifa yeye anajua na wajumbe wa hiyo Kamati ni wawakilishi kutoka Kila Chama kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu, hivyo Mgombea anaeona Kuna shida nadhani Maadili yamemtaka kupeleka malalamiko huko kwa kamati. Sio kulalamika majukwaani.

Hivyo naishauri Chadema na vyama vingine wanaoona Kuna shida hizo Kamati zipo kuanzia ngazi ya Kata, Jimbo na Taifa na kuna Kamati ya Rufaa.
 
Tundu Lissu ni mtu hatari sana, muongo, fatani na mzandiki mkubwa. Huyu jamaa anasema hata Maadili ya Uchaguzi vyama havijashirikishwa kuyaandaa? Sisi tunafahamu kwamba yeye alikuwa Ulaya wakati Uchaguzi unaandaliwa, hajui lolote, yani amerudi tu kuchukua nchi, kama mdodo chini ya mnazi. Yani hivyo tu yani, kwa hiyo hana cha kupoteza.
 
Exactly, na huu ni ukwel mchungu ambao mataga wanaweweseka
Lissu ni saiz yake,makavu ndiyo anayaelewa-shida Lumumba hawajawahi kufikiria siku moja mtu atatokea na kuwafungua macho wananchi kwa style ya lissu ya kuhutubia;Lissu ana skills ya kufikisha taarifa ngumu kwa mtu wa chini kwa jinsi rahisi ambayo ataielewa. Mpaka uchaguzi uishe Mzee mkubwa credibility yake itakuwa imepungua mno kwa jinsi Lissu anavyo yafumbua mambo yake yake ya kificho hadharani sababu wananchi walikuwa wanamvumilia wakiamini hana scandal ila mambo ni tofauti
 
Tume imepiga jiwe gizani kwa kutokitaja Chama chochote zaidi ya kutoa Onyo kwa vyama hivyo. Sasa Kama Chadema hawana makosa wanajibu nini? Si wakae kimya halafu Tume ifanye kazi.

Pili. Tundu Lisu amesoma hayo Maadili, na kusema kua wameshurutishwa kusaini ni uongo. Yeye alikua Ubelgiji kaja kuchukua Fomu na kurudisha. Angegoma Basi kusaini siku ya uteuzi.

Tatu, Maadili hayo yanasimamiwa na Kamati maalum ya Maadili Kitaifa yeye anajua na wajumbe wa hiyo Kamati ni wawakilishi kutoka Kila Chama kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu, hivyo Mgombea anaeona Kuna shida nadhani Maadili yamemtaka kupeleka malalamiko huko kwa kamati. Sio kulalamika majukwaani.

Hivyo naishauri Chadema na vyama vingine wanaoona Kuna shida hizo Kamati zipo kuanzia ngazi ya Kata, Jimbo na Taifa na kuna Kamati ya Rufaa.
Lissu katoa Darasa murua kuhusu makosa ambayo wao tume wamefanya pamoja na jiwe.

Maadili hayamtaki mgombea kutumia miradi ya maendeleo wakati wa kampeni, Jiwe si alitoa amri Barabara ijengwe akiwa kule bunda?

Na madudu mengine mengi mpaka kutumia watoto zetu washindwe kusoma waende kuangalia kituko?

Lissu kuwapiga spana ndio kuwatusi?

Ebu jaribuni muone sasa.
 
Huyu jamaa yenu anawalisha matango pori tu Tena ya kwasababu anapiga kelele tu mitandaoni badala ya kufuata utaratibu nimesoma kanuni za maadili ya Uchaguzi zinasema unatakiwa kutoa taarifa ya maandishi ktk sehemu husika ndani ya masaa 72 toka ukiukwaji wa maadili ulipofanyika.sasa kulalama tu Kama hayawani bila kutekereza hayo ni kazi bure.
Uelewa mdogo pia ni shida sana, huwezi kupewa maelekezo namna ya kufuata Mwongozo ukaanza kujitetea kwa kusema mbona fulani anafanya....katika Ulimwengu wa sheria hiyo sio sawaa kabisa..
 
Kampeni zinakwenda vizuri naona lisu kanunua miwani mpya.
 
Maadili ya uchaguzi yanataka anaelalamika kuhusu mwenendo wa kampeni kupeleka malalamiko katika kamati za Maadili ambazo zinaundwa kwa asilimia kubwa na vyama vya siasa vinavyo shiriki uchaguzi katika ngazi husika sasa kulalamika kwa wananchi hakutoi suluhu yoyote kinachotakiwa ni kupeleka malalamiko kwenye kamati katika ngazi husika ili hatua stahiki zichukuliwe na kamati
 
Chadema wawapumzishe watawala maana wanalala hawana hamu na chadema
 
Wachangiaji wengi humu hamuifahamu NEC kabisa. TUME inaonngozwa na Mwenyekiti, Makamu na wajumbe 4, Maamuzi yeyote ya Tume hayafanyiki kutoka hewani yanafanyika kwa Mujibu wa Sheria na Kanuni ambazo zimewekwa.

Ni vizuri kusoma na kupambanua kauli za Wagombea au Shutuma mbalimbali kuziamini moja kwa moja sio sahihi.
 
Maadili ya uchaguzi yanataka anaelalamika kuhusu mwenendo wa kampeni kupeleka malalamiko katika kamati za Maadili ambazo zinaundwa kwa asilimia kubwa na vyama vya siasa vinavyo shiriki uchaguzi katika ngazi husika sasa kulalamika kwa wananchi hakutoi suluhu yoyote kinachotakiwa ni kupeleka malalamiko kwenye kamati katika ngazi husika ili hatua stahiki zichukuliwe na kamati
Itoshe kusoma wewe ni zwazwa mkuu, yaani kwa Hali hii ya 'kisiasa' malalamiko yapelekwa kwa akina Hashim rungwe na profesa chawa?

Ndo kamati ya maadili hiyo? Kanywe maji ukalale!
 
Back
Top Bottom