Aman bila haki ni sawa na bule boy.uberigiji alipelekwa kwa udharimu wa watanzania wachache wenye madaraka ya kurevya.hutaki ukosorewe we kama nani.Kweli Mwaka wa shetani. Anayesambaza uongo na chuki, halafu Mashabiki mnamkimbilia bila kutafiti.
Akaendelee kuwadanganya wabelgiji waliompa uraia. Sisi Watanzania, Tutaisimamia amani yetu!
Eti raising anasimama hadharani anatamka kuufuta upinzani hivi hats kama unamapenzi nae hapana.upinzani upon Dunian sa yeye kama nani.Tanzania no yawatanzania wote.Msijifiche kwenye kichaka cha ubeberu.Zimbabwe iko wapi.Watu Hanna chochote,Siraha za aina zote tekinorojia aina zote tunazozitumia tunatoa kwao.jamani ifikie hatua anaetuongoza tumwambie ukweli maana amewekwa na watanzania million 8 ila mkumbuke watanzania Tupi zaidi ya million 50.hapo VP.naimani unenielewa sio kwamba namchukia Raising wangu hapana.