Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Kweli Mwaka wa shetani. Anayesambaza uongo na chuki, halafu Mashabiki mnamkimbilia bila kutafiti.
Akaendelee kuwadanganya wabelgiji waliompa uraia. Sisi Watanzania, Tutaisimamia amani yetu!
Aman bila haki ni sawa na bule boy.uberigiji alipelekwa kwa udharimu wa watanzania wachache wenye madaraka ya kurevya.hutaki ukosorewe we kama nani.

Eti raising anasimama hadharani anatamka kuufuta upinzani hivi hats kama unamapenzi nae hapana.upinzani upon Dunian sa yeye kama nani.Tanzania no yawatanzania wote.Msijifiche kwenye kichaka cha ubeberu.Zimbabwe iko wapi.Watu Hanna chochote,Siraha za aina zote tekinorojia aina zote tunazozitumia tunatoa kwao.jamani ifikie hatua anaetuongoza tumwambie ukweli maana amewekwa na watanzania million 8 ila mkumbuke watanzania Tupi zaidi ya million 50.hapo VP.naimani unenielewa sio kwamba namchukia Raising wangu hapana.
 
ACHENI KUIPAKAZA MATOPE TUME,
KWA ULOFA WENU. TENA WATANZANIA TUKO MACHO KWELI KWELI NA HUU MPASUKO MNAOTAKA KUTULETEA!
LISU AACHE UONGO NA ANADI SERA SIO KULETA CHUKI. MTASAMBARATISHWA NINYI NA HUYO BEBERU WENU!
NA TANZANIA ITABAKI IMARA
Watakao sambaratishwa ni wadhalimu wachache.kama kweli hata aliyofanyiwa TL unaona sawa,basi usiwafokee wale wote wasiompenda bwana wenu.ila zama zake zitapita wangapi walikuwepo bhana.R I.P MKAPA
 
Aman bila haki ni sawa na bule boy.uberigiji alipelekwa kwa udharimu wa watanzania wachache wenye madaraka ya kurevya.hutaki ukosorewe we kama nani.

Eti raising anasimama hadharani anatamka kuufuta upinzani hivi hats kama unamapenzi nae hapana.upinzani upon Dunian sa yeye kama nani.Tanzania no yawatanzania wote.Msijifiche kwenye kichaka cha ubeberu.Zimbabwe iko wapi.Watu Hanna chochote,Siraha za aina zote tekinorojia aina zote tunazozitumia tunatoa kwao.jamani ifikie hatua anaetuongoza tumwambie ukweli maana amewekwa na watanzania million 8 ila mkumbuke watanzania Tupi zaidi ya million 50.hapo VP.naimani unenielewa sio kwamba namchukia Raising wangu hapana.
Mr. Mvua nakuelewa sana Ndugu yangu!
Ukweli Mtu akikosea ni muhimu aambiwe, Lakini sio kuleta Propaganda za uongo ili kujenga Chuki kwa Wananchi.
Binafsi kwenye uongo siwezi kuunga Mkono!
Tujenge Nchi yetu kwa Upendo bila Unafki, Tukatae dhuluma na tuwatie moyo tuliowapa dhamana bila ya kashfa!
Simpo yani!
 
Watakao sambaratishwa ni wadhalimu wachache.kama kweli hata aliyofanyiwa TL unaona sawa,basi usiwafokee wale wote wasiompenda bwana wenu.ila zama zake zitapita wangapi walikuwepo bhana.R I.P MKAPA
Hakuna atakayeishi Milele. Hoja yangu ya Msingi ni pale tunapohangaika kujenga Chuki kwa kauli za uongo!
Hamna anayekubaliana na alichofanyiwa TL kiubinadamu kabisa. Lakini hatupaswi kukubaliana na udhalimu huu wa kupotosha wananchi unaoletwa na huyo huyo TL.
 
Mr. Mvua nakuelewa sana Ndugu yangu!
Ukweli Mtu akikosea ni muhimu aambiwe, Lakini sio kuleta Propaganda za uongo ili kujenga Chuki kwa Wananchi.
Binafsi kwenye uongo siwezi kuunga Mkono!
Tujenge Nchi yetu kwa Upendo bila Unafki, Tukatae dhuluma na tuwatie moyo tuliowapa dhamana bila ya kashfa!
Simpo yani!
Usemayo in kweli ndugu,ila sasa kuna mambo ambayo yanafanyika kwa uwazi mpaka MTU unabaki unashangaa.kiukweli kuna mambo mengine Lisu anapotoka ila nadhani ni hasira.
Siasa IPO na itaendelea kuwepo milele na milele.ila haki na usawa vinatakiwa kutamaraki ili jamii husika kusiwe na migogoro.
Siasa ni kama imani,kila MTU anakuwa na imani take.

Siasa ikiambatanishwa na chuki ndo pale yanayotokea sasa yanaonekana.kikubwa iwe siasa safi na uongozi bora na si mabavu.
Pamoja tunaijenga nchi.Haki sawa kwa wote.

Ameeen
 
Hii inathibitisha kwamba ninyi ndugu zetu hamjui kitu asee! Kama mpaka leo mnaaminishwa kwamba kila uchaguzi wagombea wenu ni wale wale hawabadiliki, wakati kila msimu wa uchaguzi zinaibuka sura mpya za ajabu ajabu tu!

Huu utoto ulioongea hapa ulitaka kusema nini dogo?
 
Wachangiaji wengi humu hamuifahamu NEC kabisa. TUME inaonngozwa na Mwenyekiti, Makamu na wajumbe 4, Maamuzi yeyote ya Tume hayafanyiki kutoka hewani yanafanyika kwa Mujibu wa Sheria na Kanuni ambazo zimewekwa.

Ni vizuri kusoma na kupambanua kauli za Wagombea au Shutuma mbalimbali kuziamini moja kwa moja sio sahihi.

Wote hawa wana teuliwa na nani Mkuu !?
 
Hakuna atakayeishi Milele. Hoja yangu ya Msingi ni pale tunapohangaika kujenga Chuki kwa kauli za uongo!
Hamna anayekubaliana na alichofanyiwa TL kiubinadamu kabisa. Lakini hatupaswi kukubaliana na udhalimu huu wa kupotosha wananchi unaoletwa na huyo huyo TL.
OK,ila ndugu kiubinadamu kwa yaliyompata TL hakika kazima use na hasira.yote kwa yote tunahitaji siasa safi na uongozi bora.

TL kuna mambo mengine anaongea anaeleweka pia JPM kuna mambo mengine anaeleweka pia.pia kama wote hakuna aliyekamilika.Mimi were hatujakamirika pia.Ila kila mmoja wetu atambue haki ya mwenzake.
 
Kauli ya kiungwana sana
 
Lowasa angeweza kuongea robo tu kama Lissu anavyo ongea , tungebeba nchi mapema, Lowasa alikuwa kama kondoo, anachinjwa hapigi kelele
 
Tume imepiga jiwe gizani kwa kutokitaja Chama chochote zaidi ya kutoa Onyo kwa vyama hivyo. Sasa Kama Chadema hawana makosa wanajibu nini? Si wakae kimya halafu Tume ifanye kazi.

Pili. Tundu Lisu amesoma hayo Maadili, na kusema kua wameshurutishwa kusaini ni uongo. Yeye alikua Ubelgiji kaja kuchukua Fomu na kurudisha. Angegoma Basi kusaini siku ya uteuzi.

Tatu, Maadili hayo yanasimamiwa na Kamati maalum ya Maadili Kitaifa yeye anajua na wajumbe wa hiyo Kamati ni wawakilishi kutoka Kila Chama kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu, hivyo Mgombea anaeona Kuna shida nadhani Maadili yamemtaka kupeleka malalamiko huko kwa kamati. Sio kulalamika majukwaani.

Hivyo naishauri Chadema na vyama vingine wanaoona Kuna shida hizo Kamati zipo kuanzia ngazi ya Kata, Jimbo na Taifa na kuna Kamati ya Rufaa.

Mbona mnyika alisema kwenye mkutano na vyombo vya habari kuwa wameshurutisha unsjibu upotolo wako. Amewaambia tume wamekiuka maadili waliyotunga wenyewe waache kukemea vyama wasimamie kwanza maadili wenyewe hapo kuna kosa gani. Hao tume wamevuliwa nguo kabisa
 
Mambo hayoo,ndio maana mzee baba siku hizi ana hasira na ni mkali aisee kumbe ni haya makombora ya facts kwa mzee.
 
Tume imepiga jiwe gizani kwa kutokitaja Chama chochote zaidi ya kutoa Onyo kwa vyama hivyo. Sasa Kama Chadema hawana makosa wanajibu nini? Si wakae kimya halafu Tume ifanye kazi.

Pili. Tundu Lisu amesoma hayo Maadili, na kusema kua wameshurutishwa kusaini ni uongo. Yeye alikua Ubelgiji kaja kuchukua Fomu na kurudisha. Angegoma Basi kusaini siku ya uteuzi.

Tatu, Maadili hayo yanasimamiwa na Kamati maalum ya Maadili Kitaifa yeye anajua na wajumbe wa hiyo Kamati ni wawakilishi kutoka Kila Chama kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu, hivyo Mgombea anaeona Kuna shida nadhani Maadili yamemtaka kupeleka malalamiko huko kwa kamati. Sio kulalamika majukwaani.

Hivyo naishauri Chadema na vyama vingine wanaoona Kuna shida hizo Kamati zipo kuanzia ngazi ya Kata, Jimbo na Taifa na kuna Kamati ya Rufaa.

[A]. Wewe kweli kumbe ni masikini wa akili na ufahamu wa kuelewa....

Hujui hata maana ya "kushurutishwa" katika muktadha wake...

Iko hivi, NEC iliandaa KANUNI na MAADILI ya uchaguzi mkuu 2020...

Ikaviita vyama kujadili. Hakukuwa na fursa ya kujadili na kisha kufanya marekebisho na baadaye mrudi tena kuona kama mapendekezo ya marekebisho yamefanyiwa kazi ama la na kisha ndiyo wadau wasaini...

Kilichofanyika ni siku hiyo hiyo kusomewa kanuni na maadili hayo, yakajadiliwa na wadau i.e vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi na vikatoa mapendekezo yao na ilikuwa LAZIMA unasaini the same day....

Kufanyia kazi mapendekezo ya wadau wa uchaguzi ilikuwa ni hiari ya NEC siyo LAZIMA....

Ilikuwa ukiacha ama kususa kusaini siku hiyo, ndiyo ingekuwa tiketi
yako ya kutoshiriki uchaguzi. Ndiyo uliitaka wafanye hivyo?

Huku ndo KUSHURUTISHWA katika muktadha wa uchaguzi huu....!

. Kwanini asingesaini siku anarudisha fomu ya uteuzi?

Ndiyo maana nakuambia wewe huna ufahamu wa mambo haya...

Akatae kusaini nini siku hiyo? Una maana akatae kupokea kijitabu chenye KANUNI na MAADILI ya uchaguzi? Na akatae kupokea ili iweje kwa mfano?

[C]. Yeye alikuwa Ubelgiji, alilazimishwa vipi kusaini?

Again, unaendelea kuthibitisha kuwa huna maarifa wala ufahamu wa mambo haya wewe....!!

Ulisoma CIVICS ya kidato cha I na II na III kwenye sekondari ya kata uliyosomea?

Kama ulisoma, hebu nieleze maana ya "CHAMA CHA SIASA". Au kwa kiingereza " What is a Political Party?"

Kama huelewi baki hivyo hivyo na ujinga wako na endelea kujiuliza maswali yasiyo na majibu...

## Lakini wafanyeje? Wasuse?

Hell NO...

Ni kupambana na kuvurugana mkiwa humohumo. Ndicho anachofanya Tundu Lissu na CHADEMA na ACT WAZALENDO. Hakuna kususa...!!
 
Back
Top Bottom