Tundu Lissu aitaka Serikali ya Kenya Kuingilia kati kutekwa kwa Maria Sarungi

Dharauu sanaaa.....kuna mtekaji mmj toka PK alikuja kimya kimya......akamteka mtu wake amsafirishe kimya kimya kwenye buti gari.....Mungu bariki....alikamatwa traffick kabla Morogoro....jamaa kwenye buti akagonga sana gari mateke....ngumi...deal ikaishia hapo......jamaa alikaa miaka 2 pale central ....diplomasia ikamuokoa ! Lakini yule mtu alipobea hapo...
Naskia JPM anahusika pia kwenye utekaji wa Sarungi 😂
 
Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi.

Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili Januari 12, 2025 baada ya mtandao wa kimataifa wa haki za binadamu-- Amnesty International kuripoti taarifa hiyo.

Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

“Maria alikuwa amekimbilia uhamishoni nchini Kenya tangu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ambapo amekuwa akiendesha televisheni ya mtandaoni ya Mwanzo TV, inayotoa maudhui ya kuunga mkono demokrasia.

“Ingawa tunatumai na kusali kwa ajili ya maisha na usalama wa Maria, ni lazima tutoe wito kwa Serikali ya Kenya na watu wote wenye nia njema kutoka duniani kote kuingilia kati, kuhakikisha usalama wa Maria,”ameandika Lissu.

View attachment 3200002View attachment 3200003
Mwenyekiti wa CHADEMA anapaswa kuwa active kwa jinsi hii...

Mimi sitashangaa iwapo Freeman Mbowe ataenda Clouds TV au kwa Salimu Kikeke na kusema;

"....Tundu Lissu hana nidhamu, CHADEMA ina mwenyekiti mmoja tu, haina Mwenyekiti mwenza, anatoa wito huo kama nani...?"

Haa haaa🤔🤔🤔🕺🏻🕺🏻🕺🏻🕺🏻
 
Sidhani ila bila shaka Kenya serikali isingeruhusu litokee kwenye ardhi yake baada ya kutekwa kwa Kiiza Besigye na kuibuka uganda basi kama hili maria angeibuka TZ au akafa ingezidi kuwatia doa kimataifa. Ngoja akizungumza kesho itafahamika kwanini kaachiliwa mapema
Haya tusubiri tuone 😎
 
Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi.

Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili Januari 12, 2025 baada ya mtandao wa kimataifa wa haki za binadamu-- Amnesty International kuripoti taarifa hiyo.

Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

“Maria alikuwa amekimbilia uhamishoni nchini Kenya tangu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ambapo amekuwa akiendesha televisheni ya mtandaoni ya Mwanzo TV, inayotoa maudhui ya kuunga mkono demokrasia.

“Ingawa tunatumai na kusali kwa ajili ya maisha na usalama wa Maria, ni lazima tutoe wito kwa Serikali ya Kenya na watu wote wenye nia njema kutoka duniani kote kuingilia kati, kuhakikisha usalama wa Maria,”ameandika Lissu.

View attachment 3200002View attachment 3200003
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!
Kamkosoa Samia Kawa salama!

Kajaribu kukosoa uenyekiti wa Mangi wamepita nae!
Uenyekiti wa CHADEMA una Nini? Kwanini kila anayejaribu kuchallenge anashughulikiwa namna hii?
Kwanini kila anayegombea uenyekiti wa Mbowe lazima aumizwe?
 
Sasaaaa

Wataingilia kati na kupatikana kwake?
 
Hata ile ilikuwa kiki tu, kwani unajifanya hujui mpaka leo?😀
Najua ilikuwa kiki Bro! Hata aliyekuwa Makamu wetu aliwahi kusema kwamba askari wa Tanzania aliyefundishwa vizuri atumie risasi 16 halafu ubaki hai! Hakuna kitu kama hicho nami nakubali hilo!
 
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!
Kamkosoa Samia Kawa salama!

Kajaribu kukosoa uenyekiti wa Mangi wamepita nae!
Uenyekiti wa CHADEMA una Nini? Kwanini kila anayejaribu kuchallenge anashughulikiwa namna hii?
Kwanini kila anayegombea uenyekiti wa Mbowe lazima aumizwe?
Gaidi Mbowe
 
Team Lisu wame sema Mbowe ndiye kamteka, tunataka ushahidi wa hili nalo msilikwepe.
 
Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi.

Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili Januari 12, 2025 baada ya mtandao wa kimataifa wa haki za binadamu-- Amnesty International kuripoti taarifa hiyo.

Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

“Maria alikuwa amekimbilia uhamishoni nchini Kenya tangu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ambapo amekuwa akiendesha televisheni ya mtandaoni ya Mwanzo TV, inayotoa maudhui ya kuunga mkono demokrasia.

“Ingawa tunatumai na kusali kwa ajili ya maisha na usalama wa Maria, ni lazima tutoe wito kwa Serikali ya Kenya na watu wote wenye nia njema kutoka duniani kote kuingilia kati, kuhakikisha usalama wa Maria,”ameandika Lissu.

View attachment 3200002View attachment 3200003
downloadfile.png
 
Back
Top Bottom