Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Nataka kichwa cha MariaMpumbavu wewe. Unaonaje utekwe wewe kisha wakate hilo bichwa lako, itakuwa sawa!?
Nasikia ni tambiko zuri
Mpumbavu mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kichwa cha MariaMpumbavu wewe. Unaonaje utekwe wewe kisha wakate hilo bichwa lako, itakuwa sawa!?
Hata bichwa lako ni tambiko zuri sana. Mpaka sasa wewe ndie Massawe wa kwanza mpumbavu.Nataka kichwa cha Maria
Nasikia ni tambiko zuri
Mpumbavu mwenyewe
Weka Id yako waziHata bichwa lako ni tambiko zuri sana. Mpaka sasa wewe ndie Massawe wa kwanza mpumbavu.
Michezo ya kisiasa yenye nia ya kuchafua awamu inayokuwa ikulu kwa wakati husika. Ni vigumu sana kuwaamini wanasiasa.Naskia JPM anahusika pia kwenye utekaji wa Sarungi 😂
Wanampakazia !Naskia JPM anahusika pia kwenye utekaji wa Sarungi 😂
Hapo ndipo alipojidanganyaHuyo nyumbu anafikiria Kenya ni nchi salama na yenye amani na utulivu😀
yeye ndio muasisi wa utekaji na uibaji kuraMbona bado moto upo pale pale na jamaa hayupo mwaka wa tatu huu
Labda ulikuwa unaishi nje ya Tanzania au ulikuwa bado mdogo !yeye ndio muasisi wa utekaji na uibaji kura
kaacha misingi ya hivyo vitu na tutakaanavy kwa muda sana
Hahaha Lisu anatafuta kiki za kijinga sana, hizo statement wanatoa viongozi wa serikali dhidi ya viongozi wenzao, Lisu hana hata mawasilino ya Ruto, sasa ujumbe wake alimpa nani?Shule ulienda kusomea ujinga? Jukumu la kila serikali ni kulinda usalama wa raia wake kwahiyo iwe serikali imehusika au haijahusika ni sahihi lisu kutoa tamko hilo kama umeumia nenda kizi mkazi kanywe madafu
SIku hizi kuna media mbalimbali haihitajiki uwe na namba ya simu ya ruto ili ujumbr umfikie, amkaHahaha Lisu anatafuta kiki za kijinga sana, hizo statement wanatoa viongozi wa serikali dhidi ya viongozi wenzao, Lisu hana hata mawasilino ya Ruto, sasa ujumbe wake alimpa nani?
Yeah, literally ni Jiwe kwa kuwa wale vibaka wake wa TISS/PT wanaendeleza yale aliyoyaasisi.Dah bc JPM katili sana 😂 Naskia nae Sativa nae alitekwa na JPM pamoja na yule mzee wa chadema aliyeshushwa kwenye bus la abiria na kuuawa 😎
Kwahy vibaka wake kuendeleza n kosa la jpm?Yeah, literally ni Jiwe kwa kuwa wale vibaka wake wa TISS/PT wanaendeleza yale aliyoyaasisi.
Maiti yake ichapwe viboko pamoja na kuwa imeshaoza kitambo.
Waambie management ya JF wawafutie usajili wenye majina feki.Weka Id yako wazi
Achana na majina feki bwana mdogo