Tundu Lissu aitaka Serikali ya Kenya Kuingilia kati kutekwa kwa Maria Sarungi

Naskia JPM anahusika pia kwenye utekaji wa Sarungi 😂
 
Mwenyekiti wa CHADEMA anapaswa kuwa active kwa jinsi hii...

Mimi sitashangaa iwapo Freeman Mbowe ataenda Clouds TV au kwa Salimu Kikeke na kusema;

"....Tundu Lissu hana nidhamu, CHADEMA ina mwenyekiti mmoja tu, haina Mwenyekiti mwenza, anatoa wito huo kama nani...?"

Haa haaa🤔🤔🤔🕺🏻🕺🏻🕺🏻🕺🏻
 
Haya tusubiri tuone 😎
 
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!
Kamkosoa Samia Kawa salama!

Kajaribu kukosoa uenyekiti wa Mangi wamepita nae!
Uenyekiti wa CHADEMA una Nini? Kwanini kila anayejaribu kuchallenge anashughulikiwa namna hii?
Kwanini kila anayegombea uenyekiti wa Mbowe lazima aumizwe?
 
Sasaaaa

Wataingilia kati na kupatikana kwake?
 
Hata ile ilikuwa kiki tu, kwani unajifanya hujui mpaka leo?😀
Najua ilikuwa kiki Bro! Hata aliyekuwa Makamu wetu aliwahi kusema kwamba askari wa Tanzania aliyefundishwa vizuri atumie risasi 16 halafu ubaki hai! Hakuna kitu kama hicho nami nakubali hilo!
 
Gaidi Mbowe
 
Team Lisu wame sema Mbowe ndiye kamteka, tunataka ushahidi wa hili nalo msilikwepe.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…