Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
serikali ya kenya iingilie kati ili waliomteka maria sarungi wajulikane ni kina nani, hatua za kisheria zichukue mkondo wakeSasa Lisu anaposema anaitaka Serikali ya Kenya iingilie, anamaanisha nini kaongea na nani huko Serikali ya Kenya?
Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi.
Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili Januari 12, 2025 baada ya mtandao wa kimataifa wa haki za binadamu-- Amnesty International kuripoti taarifa hiyo.
Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
“Maria alikuwa amekimbilia uhamishoni nchini Kenya tangu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ambapo amekuwa akiendesha televisheni ya mtandaoni ya Mwanzo TV, inayotoa maudhui ya kuunga mkono demokrasia.
“Ingawa tunatumai na kusali kwa ajili ya maisha na usalama wa Maria, ni lazima tutoe wito kwa Serikali ya Kenya na watu wote wenye nia njema kutoka duniani kote kuingilia kati, kuhakikisha usalama wa Maria,”ameandika Lissu.
View attachment 3200002View attachment 3200003
Wapenda haki tunalaani vikali yote yaliyomkuta huyo dada na haya yote yanaonesha jinsi serikali hii ya CCM ilivyo na uharamia kwa wananchi wake.Bila shaka ma CCM na Ile timu pendwa ya mwamba walifurahi mno huyo mdada yalivyomkuta.
fazili au nasema uongo?
Wamesahau kwamba Kenya kuna Base ya Jeshi la Marekani kuzuia ugaidi, Wameumbuka sana!Wapenda haki tunalaani vikali yote yaliyomkuta huyo dada na haya yote yanaonesha jinsi serikali hii ya CCM ilivyo na uharamia kwa wananchi wake.
YAANI WAMTEKE WAKENYA HALAFU WAJIKEMEE WENYEWE ACHA UJINGA WEWE DEMUSerikali ya Kenya ikemee jambo hilo haraka na kuionya nchi inayotumia ardhi yake kuteka watu
WAMEKAMATWA? NAONA MNAVYOJITEKENYA NA KUJIKASIRIKIA TU HAMNA LOLOTEWamesahau kwamba Kenya kuna Base ya Jeshi la Marekani kuzuia ugaidi, Wameumbuka sana!
Nasikia ilikuwa ni kiki tu kama ile ya Abdul Nondo😁
Wananyea debe muda huuWAMEKAMATWA? NAONA MNAVYOJITEKENYA NA KUJIKASIRIKIA TU HAMNA LOLOTE
Hujui kitu wewe, Shut Up!YAANI WAMTEKE WAKENYA HALAFU WAJIKEMEE WENYEWE ACHA UJINGA WEWE DEMU
Mpumbavu wewe. Unaonaje utekwe wewe kisha wakate hilo bichwa lako, itakuwa sawa!?Wangekata hiyo kichwa
Kigalula yule
Shule ulienda kusomea ujinga? Jukumu la kila serikali ni kulinda usalama wa raia wake kwahiyo iwe serikali imehusika au haijahusika ni sahihi lisu kutoa tamko hilo kama umeumia nenda kizi mkazi kanywe madafuHaya Matamko huwa wanayatoa baada ya kuwasiliana na hizi serikali au wanaongea tu?
Lisu kawasilina na nani katika Serikali ya Kenya na kumtaka aingilie kati utekwaji wa Maria Sarungi?
Unaitakaje serikali ingilie kati kana kwamba unawafahamu watekaji?
Niko kwenye maombi na wewe, Mungu atanipa jibu, hatuwezi acha kizazi teketea kwa uchawanatoa wito kwa watekaji wasithubutu kumfanya kitu chochote kibaya
jPM ndiye muasisi wa huu unduli wa kuteka na kupoteza watu. Huyu kigagula wa Zenji anatembelea mulemule kwa kuwa amegundua hawa kondoo hata ukikamata mmoja mmoja na kuchinja, hakuna wanachoweza fanya.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Labda walishakifanya hicho kitu.natoa wito kwa watekaji wasithubutu kumfanya kitu chochote kibaya
Mbona ata huko Kenya inasemekana kuna matukio ya utekaji?jPM ndiye muasisi wa huu unduli wa kuteka na kupoteza watu. Huyu kigagula wa Zenji anatembelea mulemule kwa kuwa amegundua hawa kondoo hata ukikamata mmoja mmoja na kuchinja, hakuna wanachoweza fanya.
Maria angeamua kua upande wa kishiba wala asingepata shida kupata cheo chochote serikalini; baba yake alikua moja ya senior ministers kwa muda mrefu tu, kahudumu enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa; kaamua mwenyewe kufanya anacho kiamino from her heart na sio tumbo lake. Nadhani ni makosa makubwa sana au uvivu wa kuijua historia yake ndio inaweza sababisha ntu kuandika kama hivoNjaa zote izo mkishiba wala hatusikii makelele haya
ngoja ajieleze tumsikie kama walimgusa mahali 🐒Labda walishakifanya hicho kitu.
Kiongozi wa group la Moron TzNasikia ilikuwa ni kiki tu kama ile ya Abdul Nondo😁