Tundu Lissu akielekea London kuwashughulika tigo na watu wasiojulikana

Tundu Lissu akielekea London kuwashughulika tigo na watu wasiojulikana

Maandamano yamewashinda sasa mnahangaika na Tigo. Mahakama ya London sana sana itakuwa na uwezo wa kusikiliza kesi inayoihusu Millicom ambayo iko huko London na wala si vinginevyo.
Sawa, ndio kinachotakiwa. Hawa jamaa hata line yao ya simu natupilia mbali nitaki na Airtel
 
Maandamano yamewashinda sasa mnahangaika na Tigo. Mahakama ya London sana sana itakuwa na uwezo wa kusikiliza kesi inayoihusu Millicom ambayo iko huko London na wala si vinginevyo.
Ulivyo mjinga na akili yako imefubazwa na mauwaji ya damu unafikili London ni wapuuzi Kama nyie. Pigeni simu mtoe maelekezo. Kama kwenye mzombi yenu huku.
 
Hakuna kampuni ya Tigo wewe
Mla rushwa huyo Lisu anadhani akitishia nyau tigo watampa rushwa anyamaze

Lisu ni mla rushwa sana tu ukiona anaibua issue ooh mtashitakiwa sijui MiGA serikali anawinda rushwa toka serikalini

Alipiga yowe sana kuwa Lowassa fisadi papa CCM wakakata jina la Lowasa asiwe mgombea wa CCM kuwa mla Rushwa wakimwamini Lisu ,Lowasa alipompa pesa Lisu yeye akiwa mwanasheria wa Chadema akaidhinisha Lowasa kuwa mgombea uraisi wa Chadema akaulizwa kwa nini? Yeye kama mwanasheria baada ya kula pesa za Lowassa akasema kama CCM walimuona Lowasa fisadi mbona hawakumpeleka mahakamani? Lowassa mtu safi CCM walimuonea tu kutomteua mgombea uraisi

Lisu mla rushwa hatari.Nashangaa wazungu kumkumbatia

Hapo yeye na wakili wake mzungu wanawinda rushwa

Milicom na Tigo msihangaike na Lisu na huyo tapeli wake Wakili Amsterdam International conman lawyer

Mkahonga

Hao ni muungano wa matapeli wawinda rushwa
Ulishindwa na risasi kumuua Lisu unaweweseka na Domo. Unafikili London ni chamwino siyo. Vipi ule mpango wa kumuuwa mange umeishia wapi?.
 
Maandamano yamewashinda sasa mnahangaika na Tigo. Mahakama ya London sana sana itakuwa na uwezo wa kusikiliza kesi inayoihusu Millicom ambayo iko huko London na wala si vinginevyo.
Kwani yeye anataka nini? Au ulidhani anataka tigo yako
 
TIGO ya Sasa hivi inamilikiwa na Rostam Azizi, Lissu hawezi kushinda kesi hata afanyeje. Kuna watu ela inayowahusu haitoki kizembe. Muda ukifika mtanielewa.
 
Hii habari ya Lissu ,Togo na serikali, wengi hatujaielewa kwa sababu za ushabiki wa kisiasa!

Ila hii habari, itawaanika watu serikalini na kwenye chama tawala hadi wengine 2025 watakimbia kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi.

Sisi tunaoanisha siasa na uhai wa mtu, tukubali Kwa Sasa Lissu ameshika mpini wa panga.

Walio salia wameshika upande wa makali!
 
Shetani huyu huyu aliyempandisha Yesu juu ya kilele Cha Mlima? 🐼
alipandishwa na Roho Mtakatifu ili ajaribiwe na shetani. (mjaribu wetu)

“Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi."

— Mathayo 4:1 (Biblia Takatifu)
 
Bibi hangaya ajiandae kunyolewa Kwa kisu.mahakama za huko Huwa ni wa kiweledi tofauti na mahakama alizozoea kuzipa maelekezo yake anavyotaka
 
Back
Top Bottom