Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM ni hekalu la shetaniUmeshageuka 😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni hekalu la shetaniUmeshageuka 😃😃😃
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidiVipi kuna maandamano tena mengine au?
Kama hujui, kuuliza ili uelimishwe si ujinga...Maandamano yamewashinda sasa mnahangaika na Tigo. Mahakama ya London sana sana itakuwa na uwezo wa kusikiliza kesi inayoihusu Millicom ambayo iko huko London na wala si vinginevyo.
🙄 !MAKAMBI YA WANYANGANYI! WAUAJI, WAFIRAJI, WATEKAJI, WAPOTEZAJI, WABAKAJI ........and you name it all!
BangeeeeerlAkishamilikishwa hiyo kampuni ya TIGO anaweza kuwa mwekezaji wa Kimataifa tu 😂
Mleta mada una madeni mengi sana unayodaiwa ya mikopo hadi ya online vipi ulishamaliza kulipa ?
Kila la Kheri Mwamba
Hahahaaaa!!!Mleta mada una madeni mengi sana unayodaiwa ya mikopo hadi ya online vipi ulishamaliza kulipa ?
Tunamuombea
Hakuna kampuni ya Tigo weweAkishamilikishwa hiyo kampuni ya TIGO anaweza kuwa mwekezaji wa Kimataifa tu 😂
Sasa mkuu ni kitu gani umeongea utadhani hauna kichwa?Maandamano yamewashinda sasa mnahangaika na Tigo. Mahakama ya London sana sana itakuwa na uwezo wa kusikiliza kesi inayoihusu Millicom ambayo iko huko London na wala si vinginevyo.
Huwezi kukimbilia ccm ukawa na akili.Hakuna kampuni ya Tigo wewe
Mla rushwa huyo Lisu anadhani akitishia nyau tigo watampa rushwa anyamaze
Lisu ni mla rushwa sana tu ukiona anaibua issue ooh mtashitakiwa sijui MiGA serikali anawinda rushwa toka serikalini
Alipiga yowe sana kuwa Lowassa fisadi papa CCM wakakata jina la Lowasa asiwe mgombea wa CCM kuwa mla Rushwa wakimwamini Lisu ,Lowasa alipompa pesa Lisu yeye akiwa mwanasheria wa Chadema akaidhinisha Lowasa kuwa mgombea uraisi wa Chadema akaulizwa kwa nini? Yeye kama mwanasheria baada ya kula pesa za Lowassa akasema kama CCM walimuona Lowasa fisadi mbona hawakumpeleka mahakamani? Lowassa mtu safi CCM walimuonea tu kutomteua mgombea uraisi
Lisu mla rushwa hatari.Nashangaa wazungu kumkumbatia
Hapo yeye na wakili wake mzungu wanawinda rushwa
Milicom na Tigo msihangaike na Lisu na huyo tapeli wake Wakili Amsterdam International conman lawyer
Mkahonga
Hao ni muungano wa matapeli wawinda rushwa
Sasa hiyo elimu huyo anaitaka? Ama hata hilo jina lake huoni?Kama hujui, kuuliza ili uelimishwe si ujinga...
Humu ndani simu moja tu toka juu inamaliza kesiKwa mahakama za nje atashinda lakini kwa haya makambi ya CCM ni hakuna
Kimeumana..!!Kimenuka!
Hahahaaa makambi ya ccm na kweli ndiyo maana wanuwa watu wakijua makambi ya ccmKwa mahakama za nje atashinda lakini kwa haya makambi ya CCM ni hakuna