Tundu Lissu akielekea London kuwashughulika tigo na watu wasiojulikana

Akishamilikishwa hiyo kampuni ya TIGO anaweza kuwa mwekezaji wa Kimataifa tu 😂
Hakuna kampuni ya Tigo wewe
Mla rushwa huyo Lisu anadhani akitishia nyau tigo watampa rushwa anyamaze

Lisu ni mla rushwa sana tu ukiona anaibua issue ooh mtashitakiwa sijui MiGA serikali anawinda rushwa toka serikalini

Alipiga yowe sana kuwa Lowassa fisadi papa CCM wakakata jina la Lowasa asiwe mgombea wa CCM kuwa mla Rushwa wakimwamini Lisu ,Lowasa alipompa pesa Lisu yeye akiwa mwanasheria wa Chadema akaidhinisha Lowasa kuwa mgombea uraisi wa Chadema akaulizwa kwa nini? Yeye kama mwanasheria baada ya kula pesa za Lowassa akasema kama CCM walimuona Lowasa fisadi mbona hawakumpeleka mahakamani? Lowassa mtu safi CCM walimuonea tu kutomteua mgombea uraisi

Lisu mla rushwa hatari.Nashangaa wazungu kumkumbatia

Hapo yeye na wakili wake mzungu wanawinda rushwa

Milicom na Tigo msihangaike na Lisu na huyo tapeli wake Wakili Amsterdam International conman lawyer

Mkahonga

Hao ni muungano wa matapeli wawinda rushwa
 
Maandamano yamewashinda sasa mnahangaika na Tigo. Mahakama ya London sana sana itakuwa na uwezo wa kusikiliza kesi inayoihusu Millicom ambayo iko huko London na wala si vinginevyo.
Sasa mkuu ni kitu gani umeongea utadhani hauna kichwa?

Wewe una akili kuliko Cliffords?

Hiyo akili yako ndo imetoka tigo imeenda huko Milicon.

Hujui kitu unaongea tuliza kitenesi.
 
Hakuna kampuni ya Tigo wewe
Mla rushwa huyo Lisu anadhani akitishia nyau tigo watampa rushwa anyamaze

Lisu ni mla rushwa sana tu ukiona anaibua issue ooh mtashitakiwa sijui MiGA serikali anawinda rushwa toka serikalini

Alipiga yowe sana kuwa Lowassa fisadi papa CCM wakakata jina la Lowasa asiwe mgombea wa CCM kuwa mla Rushwa wakimwamini Lisu ,Lowasa alipompa pesa Lisu yeye akiwa mwanasheria wa Chadema akaidhinisha Lowasa kuwa mgombea uraisi wa Chadema akaulizwa kwa nini? Yeye kama mwanasheria baada ya kula pesa za Lowassa akasema kama CCM walimuona Lowasa fisadi mbona hawakumpeleka mahakamani? Lowassa mtu safi CCM walimuonea tu kutomteua mgombea uraisi

Lisu mla rushwa hatari.Nashangaa wazungu kumkumbatia

Hapo yeye na wakili wake mzungu wanawinda rushwa

Milicom na Tigo msihangaike na Lisu na huyo tapeli wake Wakili Amsterdam International conman lawyer

Mkahonga

Hao ni muungano wa matapeli wawinda rushwa
Huwezi kukimbilia ccm ukawa na akili.
 
Back
Top Bottom