Job ndugai atapata kura kidogo mno katika kata mbili au tatu tu pale kongwa,Mbona tetesi zinasema CHADEMA wanamhitaji Job Ndugai awe mgombea wao wa urais?
Hatukatai mtu,hata Mzee wa Galilaya,hata wewe karibuJob ndugai atapata kura kidogo mno katika kata mbili au tatu tu pale kongwa,
lakini nje ya kongwa haeleweki na wala haijulikani kabisa zaid ya kumpiga mtu rungu,
ni kama Matha Karua tu kule Kenya, ambae hawezi kushinda hata ward moja kwenye constituency yake halafu eti anataka kua mgombea urasi wa nchi. Ni kupoteza muda tu π
Hautapita muda mrefu,
mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015.
Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025.
Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart boss wa Chadema, 48 laws of power ya Robert Greene itawahukumu.π
Mungu Ibariki Tanzania
Ukoo maarufu
Gentleman,Kaka leo unajitahidi sana mzee thread ya ngapi hii? Usinisahau kwenye ugimbi ukilipwa mazee, si unajua wote dugu moja sisi?
Simba kaunguruma kila mdudu, ndege, mnyama anateseka kuepusha bawa lake, na hiki kishindo ni wiki 2 na zaidi za uvccm kuhangaika naye!
Punguani mnahangaika sana. Huko Lumumba kwenu mmekosa ya kutuletea!!Hautapita muda mrefu,
mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015.
Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025.
Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart boss wa Chadema, 48 laws of power ya Robert Greene itawahukumu.π
Mungu Ibariki Tanzania
Dr. Slaa wapo kwenye kapu moja na Lissu. Wanaweza je kutengana?Hautapita muda mrefu,
mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015.
Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025.
Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart boss wa Chadema, 48 laws of power ya Robert Greene itawahukumu.π
Mungu Ibariki Tanzania
Dr Slaa ana risasi moja tu mkononi kwasabb za kiumri,Dr. Slaa wapo kwenye kapu moja na Lissu. Wanaweza je kutengana?
Gentleman,Punguani mnahangaika sana. Huko Lumumba kwenu mmekosa ya kutuletea!!
Unahangaika kuandika uouuzi wa kila aina, au unadhani hiyo itakusaidiakupata kipato kidogo cha kukufanya usherehekee vizuri mwaka mpya?
ndio muonekano wa,
Dr.Slaa akiichungulia vita ya mafahali wawili ndani ya Chadema kwa umakini mkubwa sio?π
Relax kamanda,Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa endeleeni na ile mingine endeleeni kutambika
Relax kamanda,
ulidhani siasa ni jogging eeh.
Punguza makasiriko tafadhali π
CCM msihadaike na saisa za lisu na mbowe!!! Hawa wanajua wanachokifanya hapo!! Mpango ni kwamba;Mbona tetesi zinasema CHADEMA wanamhitaji Job Ndugai awe mgombea wao wa urais?