Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

Itakuwa ni bora kukukodi wewe kwa malipo nafahamu huwezi kataa.
mimi ni kiongozi wa wananchi Tanzania na ninafanya kazi yao for free..

hiyo ya malipo anaiwezea sana huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na Dr wilbroad 🐒
 
Mbona tetesi zinasema CHADEMA wanamhitaji Job Ndugai awe mgombea wao wa urais?
Job ndugai atapata kura kidogo mno katika kata mbili au tatu tu pale kongwa,

lakini nje ya kongwa haeleweki na wala haijulikani kabisa zaid ya kumpiga mtu rungu,

ni kama Matha Karua tu kule Kenya, ambae hawezi kushinda hata ward moja kwenye constituency yake halafu eti anataka kua mgombea urasi wa nchi. Ni kupoteza muda tu 🐒
 
Hatukatai mtu,hata Mzee wa Galilaya,hata wewe karibu
 
Hautapita muda mrefu,
mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015.

Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025.

Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart boss wa Chadema, 48 laws of power ya Robert Greene itawahukumu.🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Kaka leo unajitahidi sana mzee thread ya ngapi hii? Usinisahau kwenye ugimbi ukilipwa mazee, si unajua wote dugu moja sisi?

Simba kaunguruma kila mdudu, ndege, mnyama anateseka kuepusha bawa lake, na hiki kishindo ni wiki 2 na zaidi za uvccm kuhangaika naye!
 
Gentleman,
kueleza ukweli kwa kujitolea ni uzalendo wenye Neema na Baraka za Mungu, huwezi kuchoka kabisa yaani.
Pole ikiwa na kukwaza..

Hata hivyo,
Ulichokutana nacho ni thread au comments zangu nyingi gentleman? 🐒
 
Hatukatai mtu,hata Mzee wa Galilaya,hata wewe karibu
nitaendelea kudigest na kudisect siasa za vyama vya siasa nchini kadiri ninapopata fursa na nafasi ya kufanya hivyo,

stay tuned tu 🐒
 
Hautapita muda mrefu,
mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015.

Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025.

Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart boss wa Chadema, 48 laws of power ya Robert Greene itawahukumu.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Punguani mnahangaika sana. Huko Lumumba kwenu mmekosa ya kutuletea!!

Unahangaika kuandika uouuzi wa kila aina, au unadhani hiyo itakusaidiakupata kipato kidogo cha kukufanya usherehekee vizuri mwaka mpya?
 
Dr. Slaa wapo kwenye kapu moja na Lissu. Wanaweza je kutengana?
 
Dr Slaa ana risasi moja tu mkononi kwasabb za kiumri,

anatamani kwanza awe kwenye platform au chama cha pekeyake ili aonyeshwe umma wingi wa wafuasi wake, kabla hajanegotiate na mwanasiasa mwingine juu ya kuungana na kufanya kazi pamoja..

Hata hivyo,
wanaweza kufanya kazi pamoja ikiwa watakubaliana Lisu awe mgombea urasi, kisha Dr slaa awe waziri Mkuu and vise versa is true.

katika siasa kila kitu kinawezekana 🐒
 
Punguani mnahangaika sana. Huko Lumumba kwenu mmekosa ya kutuletea!!

Unahangaika kuandika uouuzi wa kila aina, au unadhani hiyo itakusaidiakupata kipato kidogo cha kukufanya usherehekee vizuri mwaka mpya?
Gentleman,
si urilax na kueleza mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani kuliko kupanic na kupoteza uelekeo namna hiyo?🐒
 
Acha wauane tu maana hawana faida yeyote ile katika ustawi wa Watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake zaidi ya kutoa mimaneno ya kichochezi na kibaguzi. Sina huruma na CHADEMA mimi.kazi yangu ni kusogeza Mafuta ili wajiwashe na kujikaanga wenyewe.
 
Uchawa si kazi ndugu. Wacha Simba aje kutunyooshea vyama!
swali ni je,
Kibaraka ameamua kuonja sumu kwa ulimi, atabaki salama mpaka mwisho achilia mbali kushinda uchaguzi kitu ambacho ni kigumu Zaid?🐒
 
Mbona tetesi zinasema CHADEMA wanamhitaji Job Ndugai awe mgombea wao wa urais?
CCM msihadaike na saisa za lisu na mbowe!!! Hawa wanajua wanachokifanya hapo!! Mpango ni kwamba;
1. Mbowe anagombea urais mwakani, wakati huo wakati huo lisu anagombea ubunge huku akijijenga kwa mwaka 2030!
2. Lisu anafanya maandalizi na kujenga CV ya mwaka 2030, wakiamini maneno ya paskal mayala kuwa mwaka 2030 CCM inatolewa madarakani, kwa kuwa eti"wajinga watakuwa , wamekufa/kuisha
 
Back
Top Bottom