Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

Lissu akitoka, chadema itakuwa kama CUF pindi alipotoka Marehem Maalim Seif Sharif Hamadi kwenda ACT-wazalendo
 
Acha wauane tu maana hawana faida yeyote ile katika ustawi wa Watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake zaidi ya kutoa mimaneno ya kichochezi na kibaguzi. Sina huruma na CHADEMA mimi.kazi yangu ni kusogeza Mafuta ili wajiwashe na kujikaanga wenyewe.
Una hakika kama sio kazi yao nzuri hata wewe huenda ungekuwa umepotea kwa unyakuo.
 
Lissu akitoka, chadema itakuwa kama CUF pindi alipotoka Marehem Maalim Seif Sharif Hamadi kwenda ACT-wazalendo

Tatizo ni kuwa kama ilivyokuwa kina Marando au Lipumba wako kama sikio la kufa!
 
fafanua kwa utulivu kwa faida ya wadau gentleman 🐒

GeqFYhVWsAAcU0W.jpeg
 
CCM msihadaike na saisa za lisu na mbowe!!! Hawa wanajua wanachokifanya hapo!! Mpango ni kwamba;
1. Mbowe anagombea urais mwakani, wakati huo wakati huo lisu anagombea ubunge huku akijijenga kwa mwaka 2030!
2. Lisu anafanya maandalizi na kujenga CV ya mwaka 2030, wakiamini maneno ya paskal mayala kuwa mwaka 2030 CCM inatolewa madarakani, kwa kuwa eti"wajinga watakuwa , wamekufa/kuisha
Kitakachoitoa CCM madarakani ni mpasuko ndani ya chama na sio vinginevyo. Lakini hakuna mwanaCCM mpuuzi ambaye ataleta mpasuko huku akijua kabisa kitakachompata kila mtanzania endapo CCM itang'olewa.
 
Kwanza CCM, inapasuliwa na nani??! Hayupo

Kitakachoitoa CCM madarakani ni mpasuko ndani ya chama na sio vinginevyo. Lakini hakuna mwanaCCM mpuuzi ambaye ataleta mpasuko huku akijua kabisa kitakachompata kila mtanzania endapo CCM itang

Kitakachoitoa CCM madarakani ni mpasuko ndani ya chama na sio vinginevyo. Lakini hakuna mwanaCCM mpuuzi ambaye ataleta mpasuko huku akijua kabisa kitakachompata kila mtanzania endapo CCM itang'olewa.
 
Back
Top Bottom