Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Lissu akitoka, chadema itakuwa kama CUF pindi alipotoka Marehem Maalim Seif Sharif Hamadi kwenda ACT-wazalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hakika kama sio kazi yao nzuri hata wewe huenda ungekuwa umepotea kwa unyakuo.Acha wauane tu maana hawana faida yeyote ile katika ustawi wa Watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake zaidi ya kutoa mimaneno ya kichochezi na kibaguzi. Sina huruma na CHADEMA mimi.kazi yangu ni kusogeza Mafuta ili wajiwashe na kujikaanga wenyewe.
swali ni je,
Kibaraka ameamua kuonja sumu kwa ulimi, atabaki salama mpaka mwisho achilia mbali kushinda uchaguzi kitu ambacho ni kigumu Zaid?🐒
Lissu akitoka, chadema itakuwa kama CUF pindi alipotoka Marehem Maalim Seif Sharif Hamadi kwenda ACT-wazalendo
Kitakachoitoa CCM madarakani ni mpasuko ndani ya chama na sio vinginevyo. Lakini hakuna mwanaCCM mpuuzi ambaye ataleta mpasuko huku akijua kabisa kitakachompata kila mtanzania endapo CCM itang'olewa.CCM msihadaike na saisa za lisu na mbowe!!! Hawa wanajua wanachokifanya hapo!! Mpango ni kwamba;
1. Mbowe anagombea urais mwakani, wakati huo wakati huo lisu anagombea ubunge huku akijijenga kwa mwaka 2030!
2. Lisu anafanya maandalizi na kujenga CV ya mwaka 2030, wakiamini maneno ya paskal mayala kuwa mwaka 2030 CCM inatolewa madarakani, kwa kuwa eti"wajinga watakuwa , wamekufa/kuisha
Kitakachoitoa CCM madarakani ni mpasuko ndani ya chama na sio vinginevyo. Lakini hakuna mwanaCCM mpuuzi ambaye ataleta mpasuko huku akijua kabisa kitakachompata kila mtanzania endapo CCM itang
Kitakachoitoa CCM madarakani ni mpasuko ndani ya chama na sio vinginevyo. Lakini hakuna mwanaCCM mpuuzi ambaye ataleta mpasuko huku akijua kabisa kitakachompata kila mtanzania endapo CCM itang'olewa.