Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi.
UNAJUA ALISMAJE?
Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa zimeadimika mtaani ni kwa sababu serikali inafanya mamiradi makubwa bila tathmini ya kiuchumi inawapa wakandarasi kutoka nje na inapoanza kuwalipa inawalipa kwa USD kama yalivyo makubaliano ya kimkataba, kwahiyo ili umlipe mtu in terms of USD inabidi ufanye Exchange ya pesa zetu za madafu.
Kwahiyo inabidi utoe pesa nyingi za madafu ili ununue USD na hii ndiyo tafsiri ya pesa kupotea mtaani.
Achaneni na porojo na upotoshaji unaofanywa na CCM eti Pesa zimepotea kwa sababu dili hakuna.
Lissu Mungu amejaaliwa kipawa kikubwa sana cha akili ameoneshwa uwezo mkubwa sana kuliko JPM tumpe nchi kama alivyosema jamaa yangu PASKALI Mayalla