Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Kama ujua Lissu anajua masuala ya katiba, Basi wewe ni Moja ya watu wasioijua katiba ya nchi yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni ujinga mtupu nani kakwambia pesa hakuna pesa huna wewe wenzio wanazo tatizo ufanye kazi wapo watu wengi wanamapesa kibao acha kusemea watu watanzania wanaelewa pesa zipo hazijapotea tumepewa fursa kuzitafuta kwa kufanya kaziHuyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi.
UNAJUA ALISMAJE?
Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa zimeadimika mtaani ni kwa sababu serikali inafanya mamiradi makubwa bila tathmini ya kiuchumi inawapa wakandarasi kutoka nje na inapoanza kuwalipa inawalipa kwa USD kama yalivyo makubaliano ya kimkataba, kwahiyo ili umlipe mtu in terms of USD inabidi ufanye Exchange ya pesa zetu za madafu.
Kwahiyo inabidi utoe pesa nyingi za madafu ili ununue USD na hii ndiyo tafsiri ya pesa kupotea mtaani.
Achaneni na porojo na upotoshaji unaofanywa na CCM eti Pesa zimepotea kwa sababu dili hakuna.
Lissu Mungu amejaaliwa kipawa kikubwa sana cha akili ameoneshwa uwezo mkubwa sana kuliko JPM tumpe nchi kama alivyosema jamaa yangu PASKALI Mayalla
Namtumbo huko ukute hata msumbiji hujawahi kufika unaongea ugoro hapa kwa wenzetu part time job zipo za kutosha kwa sababu ya mzunguko mzuri wa hela, huku kwetu hata kazi za saidia fundi sikuhizi ni ishu kuzipataUsha tembea hata nje ya nchi !!!
Nakupa fact nchi zilizo tajiri uwezi kuona mzunguko wa kijinga jinga kama unavo zani.ndio maana kwa wenzetu kuna maskini wa kutupa uku kwetu tuna subiri.
Mzunguko wa pesa ni watu kwa watu,ajira na waajilii pamoja na fursa kiufupi.
Mambo yale ya zamani pesa ije ije ijulikani wapi hakuna sasa.fanya kazi tafuta fursa pesa hipo.ukienda kwa wenzetu ndo utakapo jua wewe ni wa mwisho kuanzia akili,kuongea mpaka fursa una jipya
Kama ulisoma uchumi basi elewa pesa za wazazi/walezi wako au watanzania zilienda na majiUchumi uendeshwi na serekali ila serekali inaweza kusimamia uchumi.mifumo ya mizunguko tulikuwa tumeaharibu wenyewe na kufanya tuamini mzunguko lazima utoke serekalini uje kwetu.si kweli
Kuna sentesi hii
Serekali inaweza kuwa na pesa ila wananchi wakawa hawana pesa.
Wananchi wanaweza kuwa na pesa ila serekali ikawa haina pesa.
Huyu mwamba ni kiboko. He is very Bold.Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi.
UNAJUA ALISMAJE?
Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa zimeadimika mtaani ni kwa sababu serikali inafanya mamiradi makubwa bila tathmini ya kiuchumi inawapa wakandarasi kutoka nje na inapoanza kuwalipa inawalipa kwa USD kama yalivyo makubaliano ya kimkataba, kwahiyo ili umlipe mtu in terms of USD inabidi ufanye Exchange ya pesa zetu za madafu.
Kwahiyo inabidi utoe pesa nyingi za madafu ili ununue USD na hii ndiyo tafsiri ya pesa kupotea mtaani.
Achaneni na porojo na upotoshaji unaofanywa na CCM eti Pesa zimepotea kwa sababu dili hakuna.
Lissu Mungu amejaaliwa kipawa kikubwa sana cha akili ameoneshwa uwezo mkubwa sana kuliko JPM tumpe nchi kama alivyosema jamaa yangu PASKALI Mayalla
Nadhani Hajui Kuwa Umoja, Upendo, Mshikamano Upo Kwasababu Ya Uoga Wetu Watanzania, Mwaka Ambao Tutaondoa Nidhamu Ya Uoga Na Kuwachagua Viongozi Tunaowataka Na Kuhakikisha Tunawasimamia Wanapatikana Hayo Maneno Tunayaweka Pembeni Kwanza...Kwani mkuu.. hiyo "hifadhi ya kutosha ya fedha za kigeni" anayotutaka mkuu kila "siku kutembelea kifua mbele" na kuwa inaweza "kufanya manunuzi ya nje kwa miezi 6" wewe unaielewaje?
Nadhani wewe ndio unahitaji darasa la nchi inavyoendeshwa
LOOoo, wewe maelezo yako ni ya kichizi kweli. Hata mwenyewe huelewi ulichoandika hapa, na bado unategemea watu wakuelewe?Usha tembea hata nje ya nchi !!!
Nakupa fact nchi zilizo tajiri uwezi kuona mzunguko wa kijinga jinga kama unavo zani.ndio maana kwa wenzetu kuna maskini wa kutupa uku kwetu tuna subiri.
Mzunguko wa pesa ni watu kwa watu,ajira na waajilii pamoja na fursa kiufupi.
Mambo yale ya zamani pesa ije ije ijulikani wapi hakuna sasa.fanya kazi tafuta fursa pesa hipo.ukienda kwa wenzetu ndo utakapo jua wewe ni wa mwisho kuanzia akili,kuongea mpaka fursa una jipya
Huyo mchumia tumbo, usipate shida naye. Mlamba viatu hayo yote anajifanya haoni hayo. Na pengine anakaa kwa shemeji yakeWe utumizi akili sawa sasa. Hizo ajira zitoke wapi? Matrilioni yanaenda Uturuki huoni?
Maduka ya biashara yanayofungwa huoni au umefumba macho?
Kaangalie simenti yote inayojenga inanunuliwa Tanzania,kokoto zote za reli zinanunuliwa Tanzania.Wafanyakazi wa kituruki hawafiki hata asilimia mbili ya wafanyakazi wa Tanzania ,Nondo zote zinanunuliwa Tanzania viwanda vya Tanzania unaposema ajira zitoke wapi hujielewiWe utumizi akili sawa sasa. Hizo ajira zitoke wapi? Matrilioni yanaenda Uturuki huoni?
Maduka ya biashara yanayofungwa huoni au umefumba macho?
Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi.
UNAJUA ALISMAJE?
Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa zimeadimika mtaani ni kwa sababu serikali inafanya mamiradi makubwa bila tathmini ya kiuchumi inawapa wakandarasi kutoka nje na inapoanza kuwalipa inawalipa kwa USD kama yalivyo makubaliano ya kimkataba, kwahiyo ili umlipe mtu in terms of USD inabidi ufanye Exchange ya pesa zetu za madafu.
Kwahiyo inabidi utoe pesa nyingi za madafu ili ununue USD na hii ndiyo tafsiri ya pesa kupotea mtaani.
Achaneni na porojo na upotoshaji unaofanywa na CCM eti Pesa zimepotea kwa sababu dili hakuna.
Lissu Mungu amejaaliwa kipawa kikubwa sana cha akili ameoneshwa uwezo mkubwa sana kuliko JPM tumpe nchi kama alivyosema jamaa yangu PASKALI[/US
[/QUOTE]
tumeelewanaHuyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi.
UNAJUA ALISMAJE?
Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa zimeadimika mtaani ni kwa sababu serikali inafanya mamiradi makubwa bila tathmini ya kiuchumi inawapa wakandarasi kutoka nje na inapoanza kuwalipa inawalipa kwa USD kama yalivyo makubaliano ya kimkataba, kwahiyo ili umlipe mtu in terms of USD inabidi ufanye Exchange ya pesa zetu za madafu.
Kwahiyo inabidi utoe pesa nyingi za madafu ili ununue USD na hii ndiyo tafsiri ya pesa kupotea mtaani.
Achaneni na porojo na upotoshaji unaofanywa na CCM eti Pesa zimepotea kwa sababu dili hakuna.
Lissu Mungu amejaaliwa kipawa kikubwa sana cha akili ameoneshwa uwezo mkubwa sana kuliko JPM tumpe nchi kama alivyosema jamaa yangu PASKALI Mayalla
Nitajie mradi wowote mkubwa hapa nchini ambao ulifanywa na makandarasi wazawa na hivyo hela kubaki nyingi hapa nchini tangu wakati wa Kambarage hadi Jakaya. Sio kila kitu anachosema huyo msema uongo wenu Tundu ni kweli ndio maana anafungiwa na tume ya uchaguzi kwa kusema uongo. Siyo mara ya kwanza katika nchi hii hela kuadimika mitaani. Nakumbuka wakati Rais Mkapa anaingi Madarakani mwaka 1995 alijitahidi sana kubana matumizi ya serikali na kubana mianya ya ubadhirifu wa fedha katika taasisi za umma na rasilimali za nchi. Hali hiyo ilipelekea hela kupatikana kwa jasho hadi watu wakaibatiza hiyo hali ya kutopatikana pesa kiurahisi jina la UKAPA.Mbona hili jambo rahisi tu. Mfano kama inajengwa nyumba mtaani kwako na tuseme inahusisha mafundi na vibarua 20 na wastani wa malipo ni shs 20000 kwa kila mtu kwa siku ujue hapo mtaani mzunguko wa pesa utaongezeka. Mama ntilie watauza chakula zaidi. Wauza mboga watauza zaidi watoto wa shule watapata poketi mane sona na msji nk.nk.
Ikiwa mafundi wataleywa na magari na vyakula na vifaa vya ujenzi ujue mta huo utaendelea kuwa na shida ya pesa.
Kama nchi ni miradi mikubwa ya matrilioni lakini vifaa vinatoka nje, wataalamu wanatoka nje na malipo ni kwa hela za kigeni ujue pesa nyingi hazitakuwa katika mzunguko kwani zitaenda nje. Zitabaki tu za vibarua ambazo si nyingi.
Point ya Lissu ni kwamba makampuni ya ndani yakipewa kazi na sehemu kubwa ya material ikitoka ndani na malipo yakiwa kwa fedha za ndani ujazi wa pesa utaongezeka na mzunguko kuwa mkubwa.
Wengine mmekalia kupinga kiuwehu tu!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Huko kwa wenzetu ndio wapi huko?punguza mbwembwe kiongozi,hii isue ya pesa kuadimika tatizo ni mipango isio na chambuzi za kiuchumi.Sasa kama umeingia madarakani cement kwa mikoa ya pwani ilikua 12500-13000 leo cement ni 15000 lakini mishahara haiajaongezwa huoni kwamba huku ni kutesa wananchi?Usha tembea hata nje ya nchi !!!
Nakupa fact nchi zilizo tajiri uwezi kuona mzunguko wa kijinga jinga kama unavo zani.ndio maana kwa wenzetu kuna maskini wa kutupa uku kwetu tuna subiri.
Mzunguko wa pesa ni watu kwa watu,ajira na waajilii pamoja na fursa kiufupi.
Mambo yale ya zamani pesa ije ije ijulikani wapi hakuna sasa.fanya kazi tafuta fursa pesa hipo.ukienda kwa wenzetu ndo utakapo jua wewe ni wa mwisho kuanzia akili,kuongea mpaka fursa una jipya
Kweli Lissu atakuwa rais mzuri sana na atarudisha uchumi na demokrasia iliyopotea.Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi.