Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Yaani, ukiwa na chakula cha kukutosha mwaka mzima - mara hiyo ni sababu ya kumcheza binti yako! Ngoma itamaliza chakula hicho kwa siku tatu na utakufa njaa siku si nyingi!Well kwa mujibu wa kauli yake yeye mwenyewe alisema tuna akiba ya mabilioni ya dola kuwezesha kila mtanzania kula na kunywa bila kufanya kazi kwa miezi sita.
Kwa hiyo kwa mipesa yote hiyo hakuna ambaye angekufa kwa njaa kwa lockdown ya kimwezi kimoja au viwili. Ni ubishi wake tu!
Huyu kwenye picha ndio lisu? Huyu mchoraji atakuwa ccm sio bureJapo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.
Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea haki na imegeuka kero masikioni mwa watu hivyo si busara kuitumia japo Lissu atakuwa ni mtu tofauti.Jambo lingine kingine ni ukweli kuwa, kauli mbiu hii imekaa kisiasa zaidi kwa maana ya kwamba inaleta picha au hisia za kuwa iko kisiasa zaidi(inaleta impression waipatayo wananchi pale wanapomuona mwanasiasa fulani akigawa fedha mitaani au kuchimba mtaro wa maji au kujenga ukuta)
Tafuteni kauli mbiu zenye ku-reflect uwezekana wa kutekelezeki na sio zinye kuonyesha maneno matamu yenye muelekeo wa ulaghai wa kisiasa kwa wananchi
Kwa mfano,leo hii ukija na kauli yenye kufanana na ile ya "maisha bora kwa kila mtanzania" jiandae tu kupoteza wapiga kura wengi na kura nyingi
View attachment 1488061
Kwa hiyo Tanzania mwenye mshahara ni yeye peke yake
Well kwa mujibu wa kauli yake yeye mwenyewe alisema tuna akiba ya mabilioni ya dola kuwezesha kila mtanzania kula na kunywa bila kufanya kazi kwa miezi sita.
Kwa hiyo kwa mipesa yote hiyo hakuna ambaye angekufa kwa njaa kwa lockdown ya kimwezi kimoja au viwili. Ni ubishi wake tu!
Atagombea Urais akiwa Ubeligiji kama alivyogombea Umakamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa?Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.
Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea haki na imegeuka kero masikioni mwa watu hivyo si busara kuitumia japo Lissu atakuwa ni mtu tofauti.Jambo lingine kingine ni ukweli kuwa, kauli mbiu hii imekaa kisiasa zaidi kwa maana ya kwamba inaleta picha au hisia za kuwa iko kisiasa zaidi(inaleta impression waipatayo wananchi pale wanapomuona mwanasiasa fulani akigawa fedha mitaani au kuchimba mtaro wa maji au kujenga ukuta)
Tafuteni kauli mbiu zenye ku-reflect uwezekana wa kutekelezeki na sio zinye kuonyesha maneno matamu yenye muelekeo wa ulaghai wa kisiasa kwa wananchi
Kwa mfano,leo hii ukija na kauli yenye kufanana na ile ya "maisha bora kwa kila mtanzania" jiandae tu kupoteza wapiga kura wengi na kura nyingi
View attachment 1488061
IdiotAna mshahara wake
Nimefurahia comment yako
Ukiitumia reserve hauwezi kuirudisha kirahisi
Dunia nzima uchumi utakiwa chini kwa miaka 6 ijayo