Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akipitishwa kugombea na chama chake, asitume hii kauli mbiu kwani tayari kuna mtu ameshaiharibu na imeshakosa mvuto kwa watanzania wengi

Well kwa mujibu wa kauli yake yeye mwenyewe alisema tuna akiba ya mabilioni ya dola kuwezesha kila mtanzania kula na kunywa bila kufanya kazi kwa miezi sita.
Kwa hiyo kwa mipesa yote hiyo hakuna ambaye angekufa kwa njaa kwa lockdown ya kimwezi kimoja au viwili. Ni ubishi wake tu!
Yaani, ukiwa na chakula cha kukutosha mwaka mzima - mara hiyo ni sababu ya kumcheza binti yako! Ngoma itamaliza chakula hicho kwa siku tatu na utakufa njaa siku si nyingi!
 
Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.

Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea haki na imegeuka kero masikioni mwa watu hivyo si busara kuitumia japo Lissu atakuwa ni mtu tofauti.Jambo lingine kingine ni ukweli kuwa, kauli mbiu hii imekaa kisiasa zaidi kwa maana ya kwamba inaleta picha au hisia za kuwa iko kisiasa zaidi(inaleta impression waipatayo wananchi pale wanapomuona mwanasiasa fulani akigawa fedha mitaani au kuchimba mtaro wa maji au kujenga ukuta)

Tafuteni kauli mbiu zenye ku-reflect uwezekana wa kutekelezeki na sio zinye kuonyesha maneno matamu yenye muelekeo wa ulaghai wa kisiasa kwa wananchi

Kwa mfano,leo hii ukija na kauli yenye kufanana na ile ya "maisha bora kwa kila mtanzania" jiandae tu kupoteza wapiga kura wengi na kura nyingi

View attachment 1488061
Huyu kwenye picha ndio lisu? Huyu mchoraji atakuwa ccm sio bure
 
Kwa hiyo Tanzania mwenye mshahara ni yeye peke yake

Muulize aliyetaka jibu

Ila kama una akili timamu,kusuggest lockdown wakati 70% wanategemea kipato cha siku was insane

Jamii imewapotezea cdm

Lazima uwe unavuta bangi kuamini matokeo tofauti
 
Well kwa mujibu wa kauli yake yeye mwenyewe alisema tuna akiba ya mabilioni ya dola kuwezesha kila mtanzania kula na kunywa bila kufanya kazi kwa miezi sita.
Kwa hiyo kwa mipesa yote hiyo hakuna ambaye angekufa kwa njaa kwa lockdown ya kimwezi kimoja au viwili. Ni ubishi wake tu!

Nimefurahia comment yako

Ukiitumia reserve hauwezi kuirudisha kirahisi

Dunia nzima uchumi utakiwa chini kwa miaka 6 ijayo
 
Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.

Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea haki na imegeuka kero masikioni mwa watu hivyo si busara kuitumia japo Lissu atakuwa ni mtu tofauti.Jambo lingine kingine ni ukweli kuwa, kauli mbiu hii imekaa kisiasa zaidi kwa maana ya kwamba inaleta picha au hisia za kuwa iko kisiasa zaidi(inaleta impression waipatayo wananchi pale wanapomuona mwanasiasa fulani akigawa fedha mitaani au kuchimba mtaro wa maji au kujenga ukuta)

Tafuteni kauli mbiu zenye ku-reflect uwezekana wa kutekelezeki na sio zinye kuonyesha maneno matamu yenye muelekeo wa ulaghai wa kisiasa kwa wananchi

Kwa mfano,leo hii ukija na kauli yenye kufanana na ile ya "maisha bora kwa kila mtanzania" jiandae tu kupoteza wapiga kura wengi na kura nyingi

View attachment 1488061
Atagombea Urais akiwa Ubeligiji kama alivyogombea Umakamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa?
 
Nimefurahia comment yako

Ukiitumia reserve hauwezi kuirudisha kirahisi

Dunia nzima uchumi utakiwa chini kwa miaka 6 ijayo

The opposite is True:

Kwa mujibu wa World bank kiwango cha umasikini Tanzania ni only 26. 4%

Kwa hiyo kumbe serikali hata ingeweka lockdown, Majority (about 73.6%) wangeweza kujimudu kwa msosi, Serikali yenyewe ingesaidia wachache tu wasiojiweza wasiozidi hiyo 26%

Cheki hizi facts kwenye attachment:

Img-1593067186322.jpg
 
Back
Top Bottom