Tundu Lissu akirudi mwaka huu kuanza harakati za kisiasa 2025, anashinda

Tundu Lissu akirudi mwaka huu kuanza harakati za kisiasa 2025, anashinda

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Lipo wazi kwa sasa hawa wapinzani wetu wapo kimya kizito sana, bila shaka Kuna ajenda na makubaliano waliwekeana maana haiwezekani wote kwa mkupuo wakae kimya kwanzia mwenyekiti, tundu lissu, God bless Lema, mnyika jj, na wengine vinara wa sauti za mpasuko achana na hawa watoto wadogo twaha na John. Bila shaka kama kuna nafasi adhimu na golden kwa Tundu lissu basi ni Sasa.

Akirudi bongo Kuna uchafu mwingi ataongea nahata yamaliza. Wananchi wenyewe hawataki hata kumwona huyu mama. Tundu lissu bila shaka mafao uliyopewa na ujio wa mama ubelgiji umekufanya kuwa mwenye hofu maana taasisi ya Rais ikiwa rafiki na mpinzani kuchomoka kwenye uringo ni ngumu sana ila jitahidi kujizima data ingia kwenye mapambano yakuisaka demokrasia kama kipindi cha jiwe.

Ukija Anza na Sakata la bei ya mafuta utoe wote walio nyuma ya hili, sekta ya Habari na mawasiliano Kuna madudu ambayo hata mimi nayajuwa ukija nitakuja kukunong'oneza, matozo za upigaji na kufukuzwa kwa chinga ni big mistake kwa ccm chukua kama fursa ya ushindi wa kisiasa.

Hakuna na simuoni mwingine kwa Sasa zaidi ya Lissu Tundu Antiphas. John Heche ana msimamo mizito ila hana Habari na flow of secrets from the government officials kama alizonazo tundu lissu, pia hana ushawishi wenye mikito ya kisiasa kama Tundu Lissu. Tu najua wananchi unatupambania mno ila tunakuangusha lakini chondechode tunakuomba uje saizi utengeneze safari yako ya mafanikio.

images%20-%202022-08-17T100730.800.jpg
 
Huyo ameshalaaniwa kama Bosi wake Kenyata hawezi shinda chochote, popote sana sana asubiri tu ghadhabu na adhabu kutoka kwa Mungu, isitoshe hana uwezo wa hata kujaribu tu kuwa against Samia, sana sana ataishia kuwadanganya na kuwatapeli kama alivyozoea ili kubakia relevant kwa wajinga, huyo jamaa ni con man!
 
Back
Top Bottom