Tundu Lissu akirudi mwaka huu kuanza harakati za kisiasa 2025, anashinda

Tundu Lissu akirudi mwaka huu kuanza harakati za kisiasa 2025, anashinda

Tundu Lissu naamini bado anauzika kwa watanzania, lakini pia niwe mkweli, ile michango yake bungeni ni kitu nilichoki-miss zaidi toka kwake, uwepo wake bungeni ni wa muhimu sana.

Kwangu napenda zaidi kumuona Lissu akigombea ubunge kuliko Urais, ile miaka mitano bungeni kwake italisaidia zaidi hili taifa kuliko kugombea urais halafu Tume ije kufanya yale mambo yake yaliyozoeleka.

Nikiangalia 2025 kule majimboni naamini patakuwepo na nafasi kubwa zaidi ya wapinzani kushinda, na sidhani kama patakuwepo na zile rafu za makusudi walizochezewa 2020.

Hali hii itawarudishia wengi tumaini la kurudi kwenye majimbo yao ya awali wakaanzie pale walipoishia, ukiongezea na pressure toka nje kuhusu kukuza demokrasia toka kwa wafadhili, naona jamaa zangu wataachia baadhi ya majimbo hasa zile ngome za upinzani ili kudumisha urafiki na wafadhili.
 
Kwa hili la Mkandara naomba Mungu amtie nguvu Lisu arudi ili kuitafuta katiba mpya.

Lisu akiridi Katiba tutaipata kwa njia yoyote kwani sijamwona na simwoni Mwanaccm mwenzangu wakuweza kuzuia harakati zake tukumbuke tukimweka jela ni bure kwani wakati ujibiwe na wakati.

Tuache uchama kwa hili hata shina langu lole halitakubali tena kutumika kama daraja la kuvukia.

Kwenye maisha ya watu tuweke uchama pembeni
 
Ukweli mtupu, ccm ebu badilikeni halafu wengi mnaishi maisha magumu kuliko vijana au wananchi wasio kuwa ccm. Mnaishi maisha ya kuombaomba tu kama mbwa badilikeni wote tutafute Katiba mpya kuliokoa taifa
 
Mm kwa hili sina mjadala kabisa kwani katiba mpya ni wakati wake.
Uchama nauweka pembeni
 
Back
Top Bottom