Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni sister yanguPlease nadhani huyo kumjibu ni kumpa promo katika league yake ya kuwania ubingwa wa upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sister yanguPlease nadhani huyo kumjibu ni kumpa promo katika league yake ya kuwania ubingwa wa upuuzi.
Hatari snExactly [emoji817] %
Wananchi wenyewe ni wapumbafu wanakatisha tamaaWananchi wamekosa mtu wa kuwasemea. Lissu arudi tu ajitoe mhanga.
Anashinda njaaLipo wazi kwa sasa hawa wapinzani wetu wapo kimya kizito sana, bila shaka Kuna ajenda na makubaliano waliwekeana maana haiwezekani wote kwa mkupuo wakae kimya kwanzia mwenyekiti, tundu lissu, God bless Lema, mnyika jj, na wengine vinara wa sauti za mpasuko achana na hawa watoto wadogo twaha na John. Bila shaka kama kuna nafasi adhimu na golden kwa Tundu lissu basi ni Sasa.
Akirudi bongo Kuna uchafu mwingi ataongea nahata yamaliza. Wananchi wenyewe hawataki hata kumwona huyu mama. Tundu lissu bila shaka mafao uliyopewa na ujio wa mama ubelgiji umekufanya kuwa mwenye hofu maana taasisi ya Rais ikiwa rafiki na mpinzani kuchomoka kwenye uringo ni ngumu sana ila jitahidi kujizima data ingia kwenye mapambano yakuisaka demokrasia kama kipindi cha jiwe.
Ukija Anza na Sakata la bei ya mafuta utoe wote walio nyuma ya hili, sekta ya Habari na mawasiliano Kuna madudu ambayo hata mimi nayajuwa ukija nitakuja kukunong'oneza, matozo za upigaji na kufukuzwa kwa chinga ni big mistake kwa ccm chukua kama fursa ya ushindi wa kisiasa.
Hakuna na simuoni mwingine kwa Sasa zaidi ya Lissu Tundu Antiphas. John Heche ana msimamo mizito ila hana Habari na flow of secrets from the government officials kama alizonazo tundu lissu, pia hana ushawishi wenye mikito ya kisiasa kama Tundu Lissu. Tu najua wananchi unatupambania mno ila tunakuangusha lakini chondechode tunakuomba uje saizi utengeneze safari yako ya mafanikio.