Tundu Lissu akirudi mwaka huu kuanza harakati za kisiasa 2025, anashinda

Wataongea nini kila kitu kipo kwenye mstari. Sasa ivi wanajificha kwenye kichaka Cha maridhiano lakini kiukweli hawana ajenga
 
Mwambie arudi kwani hautaki Urais?
 
Kwa sera zipi hasa? Nitajie hata moja.

Mkijitahidi ni wabunge ndio mtaongeza idadi tuu.
 
Wataongea nini kila kitu kipo kwenye mstari. Sasa ivi wanajificha kwenye kichaka Cha maridhiano lakini kiukweli hawana ajenga
Samia amejua kuwaweza.. Watakwambia serikali ina matumizi makubwa mara ya hovyo..

Unfortunately Hata hiyo kiki Rais Samia anaenda kuishughulikia Tena kwa kusema kabisa Kwamba anakusudia kukata matumizi ya mafuta, vipuri na magari kutoka bil.550 kwa mwaka hadi yabakie bil.50 tuu..
 
Huyu Mwamba hata Rais Samia anamkubali.

Achana na wachumia tumbo wachache wanaomwogopa.
 
Naunga mkono hoja kutokana na ninachokiona mtaani. Huwa sichangii neno ila naobserve kwa kusikia na kulinganisha wengi wanasemaje kwa utawala uliopo. 2025 kama kweli itatendeka haki basi itakuwa aibu kwa chama X. Ukijua kuliteka jukwaa kwa kauli thabiti wakati wa kampeni unazo % fulani za kura achilia mbali background yako. Ukiongea speech nzima unashangiliwa na kikundi cha hamasa tu basi ujue kuna tatzo mahala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…