Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akishinda Urais, Nchi imeshinda, Afrika imeshinda

Tusijifariji. Bado kuna kazi pevu mbele yetu kuanzia kesho tarehe 21/10 ya kuhakikisha tuna mawakala walioapishwa kila kituo. Kuhakikisha wanawahi na kuingia vituoni, wanapewa nakala za matokeo na kuzihifadhi, n.k. La sivyo inakula kwetu.
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa Lissu, mmeteseka kwa kukandamizwa stahiki zenu kwa muda mrefu sanaa. Miaka 5 mmekuwa kituko mtaani maisha yenu.
 
Lissu Lissu ndiye chaguo la watanzania
 
Naunga mkono hoja
 
Hata Libya walifanya mabadiliko nini wameambulia?

Binadamu ni binadamu tu, asili yetu ni moja
Yeyote anaweza kutuvusha au kutuangusha
Libya walifanya uchaguzi gani ulioleta mabadiliko?mbona umeandika kama unakimbizwa
 
Naweka nadhiri kwa Mungu. Lazima nitoe sadaka ya kipekee kabisa kanisani ambayo sijawai kutoa tangu nizaliwe jambo hili litakapotimia mwaka huu.

Mungu bariki Mtumishi wako Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025, kwa Jina lako Yesu Kristo. Amen
 
Tunasubiri 29/10 tumshikie kiboko tukampandishe ndege arudi kwa wazungu wenzake ubelgiji
 
Tusijifariji. Bado kuna kazi pevu mbele yetu kuanzia kesho tarehe 21/10 ya kuhakikisha tuna mawakala walioapishwa kila kituo. Kuhakikisha wanawahi na kuingia vituoni, wanapewa nakala za matokeo na kuzihifadhi, n.k. La sivyo inakula kwetu.
Wasisitize pia waendelee kuchangia kampeni, hapa tulipo ndio patamu sasa lazima nguvu iongozeke tumalize kwa kishindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…