- Thread starter
- #41
Na Mungu akusaidieNaweka nadhiri kwa Mungu. Lazima nitoe sadaka ya kipekee kabisa kanisani ambayo sijawai kutoa tangu nizaliwe jambo hili litakapotimia mwaka huu.
Mungu bariki Mtumishi wako Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025, kwa Jina lako Yesu Kristo. Amen